shape shifter
Member
- Mar 20, 2013
- 98
- 15
Mimi napendekeza iwepo Official Thread ya Linux ili mtu atakayetaka kujua kitu chochote kuhusu Linux anakwenda huko. Watu wengi wanasema OS za Linux ni ngumu, hii inatokana na ufahamu mdogo kuhusu Linux.
Mkuu wazo zuri sana hilo,mm nimeshatumia linux mint,ubuntu,backtrack na kali linux nimeidownload juzi ila bado sijaitumia
ubuntu ni linux kijana, linux ina distribution nyingi sana like opensuse, fedora, ubuntu, linux mint etc, know that linux ni just kernel. Unaweza install ubuntu halafu ukaweka desktop manager nyingine like xfce, kde, gnome shell, cinnamon and more ambazo zitakupa interface unayoitaka
Sent from my Nokia Lumia
Mkuu wazo zuri sana hilo,mm nimeshatumia linux mint,ubuntu,backtrack na kali linux nimeidownload juzi ila bado sijaitumia
Mkuu wazo zuri sana hilo,mm nimeshatumia linux mint,ubuntu,backtrack na kali linux nimeidownload juzi ila bado sijaitumia
Hivi SUSE ni nzuri KULIKO Mint au, leo nimefownload SUSE? Hebu nijuzeni
Habari zenu wakuu! Naomba kutengeneza hii thread maalum kwa ajil ya hii operating system, mim nimeanza kuitumia siku chache zilizopita lakini nilichokuja kuipendea mbali na kuwepo kwa tools nyingi za penetrations testing (hacking), lakini intrested things ni kuwa inakuja na prog nying built in ka VLC, na drivers za wireless. N.k
Karibun wadau tuizungumzie...
Tatizo kubwa ni wewe unaitumia kwa kazi gani. Kuna mazingira hayakuruhusu kutumia os nyingine zaidi ya windows os kutokana software unazotumia katika kazi yako. Mimi binafsi nimeshindwa kuhama windows kutokana na application za kazi yangu zote ni windows only.
Leo nimeipata Mint lakini zaidi naitaka SUSE, nimejaribu kudownload lakini sikufanikiwa maana image yake ni kubwa, speed ya internet ilikuwa ndogo.
Ni kweli Mkuu, ila ninachokiona ni kuwa Linux wamelenga kuwasaidia watu kwa kuwa hizi program za kununua kama za Microsoft ni ghali sana. Fikiria Windows 7 Professional ni usd 375, na Office ni usd 200, ni Wabongo wangapi wanaweza kumudu hizo gharama? Na ndiyo maana watu wengi wanatumia program za Kudurufu kuanzia OS, Office na nyinginezo. Kwa mfano Linux OS naipata bure pia package ya office inakuwa imeambatanishwa japo siyo kama ile ya Microsoft lakini vitu muhimu vyote vipo, sasa kwa nini nisitumie Linux kama shughuli zangu ni za kawaida?
Mkuu mfano ni kazi gani huwezi kufanya kwenye OS nyingineTatizo kubwa ni wewe unaitumia kwa kazi gani. Kuna mazingira hayakuruhusu kutumia os nyingine zaidi ya windows os kutokana software unazotumia katika kazi yako. Mimi binafsi nimeshindwa kuhama windows kutokana na application za kazi yangu zote ni windows only.
Mkuu mfano ni kazi gani huwezi kufanya kwenye OS nyingine
kweli kabisa kaka microsoft ni ghali sana. Kama sio mambo ya piracy wengi tusingeimudu. Mimi huwa nina deal na cash registers na efd kwa ujumla. Sasa software zote zinazotumika katika maintenance ya hizi devices ni windows based. Yaani kama leo nitaweka linux basi kesho sitafanya chochote kazini zaidi ya ku browse.
Kiufupi sio kazi ila ni program tunazotumia kutoka kwa vendor wa printers na devices zingine zote ni za windows only. Applications zote kama vile printer flasher, loader na programing utilities zingine ni windows based
Duh, waswahili kwa kujisifu!! Mambo gani ya ajabu ajabu unayofanyia? hebu yaeleze hayo mambo tushangae..
Zina hitaji PC yako iwe na space ya kutosha
Mi natumia VMware Player ni virtual machine nzuri sana! Natumia kwenye mambo ya ajabu ajabu
Yaani ni unatumia another OS kwenye OS nyingine!
.
Unaweza kutumia Windows XP kwenye 8 au hata 7
.
.
Duh, waswahili kwa kujisifu!! Mambo gani ya ajabu ajabu unayofanyia? hebu yaeleze hayo mambo tushangae.
Virtual machines zipo nyingi ila hii ya Oracle ndo imeingia karibuni. Labda jamaa atueleweshe Zaidi.Hiyo vmware sio ile ya oracle tuliyoizoea?
Duh, waswahili kwa kujisifu!! Mambo gani ya ajabu ajabu unayofanyia? hebu yaeleze hayo mambo tushangae.
Apo mkuu naomba unielekeze kati ya hii KDE na Gnome? Na ipi nzuri?