Kalewee hadi ziishe

kadirio 100,000,000-milioni miamoja. pesa ya Tanzania ni zaidi ya mzigo, kuna buti za baadhi ya magari hili zigo halienei!!!
 
Zikiwa mpya zina kiarufu flani kizuuri,sema zikichakaa kama mtu kajamba.
 
Katika maisha ya kawaida tu wengi wetu tushatumia kama hizo na hata zaidi.,'labda utoe hayo madafu ya Magu uweke zile za malkia au za Trump kwa ujazo huo'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…