New Force 2015
Member
- Oct 25, 2013
- 63
- 262
Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Kalenga kutabiri mshindi wa uchaguzi mkuu 2015, watafiti wa maswala ya kisiasa wana sema, jimbo la Kalenga limebeba sura halisi ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu kulingana na historia ya mabadiliko ya nchi yetu.
Endapo CCM itashinda jimbo hilo, basi itakuwa na nafasi ya kuibuka mshindi uchaguzi mkuu 2015, vinginevyo CHADEMA itakuwa inaingi Ikulu.
Hali ilivyo sasa ni kwamba, kundi la watu mashuhuri kama maChief na wazee wameonekana kuiunga mkono CDM jambo ambalo sio la kawaida na hivyo limeleta hofu kubwa kwa CCM na kuwafanya hata wao kutokukubaliana jinsi ya kukabiliana na vuguvugu la mabadiliko linloonekana kuwa tishio kubwa...
HAKIKA TANZANIA IMEAMKA...