nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,802
- 4,450
Msibeze na kudharau strategy za maccm. Wamehairisha baada ya kuona vuguvugu la jana hawaliwezi. Hizi mbinu za kivita, kurudi nyuma si kushindwa. Wanasoma mchezo.
Niwaombe cdm wahakikishe kila wanayeongea naye/ hata kama ni umati wawe wapiga kura. Si vibaya kuwaandaa wote hata uchaguzi ujao lakini cha msingi hapa ni numbers of voters. Hii miccm inaweza isipige hata campaign..badala yake ikaesabu wapiga kura kalenga kwa kushirikiana na tume ikaanza kuwatembelea hao. Miccm haitaki kubahatisha. Sikudhani maccm yanawapiga kura sombetini!
CDM be strategic than ever! Tunalihitaji hilo jimbo. Kitendo cha kumweka mama kama mgombea ni ushindi tayari dhidi ya huyo mkamerooni ( ninamaana ya raia mwingereza).
Wamerudi nyuma tutawafanyia flanking attack, Mungu yuko pamoja na jeshi lake