Kalenga yatabiri anguko la CCM 2015

Kalenga yatabiri anguko la CCM 2015

Wikipedia waingereza wanamtambua godfrey kama raia wa London

Godfrey Mgimwa
CCM candidate for
Kalenga By election
Election date
16 March 2014
Personal details
Born c. 1982 (age 31–32)
london
Nationality British
Political party CCM
Parents William Mgimwa
Profession Banker
 
Tangu muache na vijana wasomi,dr.mkumbo,zitto na baadae prof.baregu naye kuwapa kisogo katika ushauri ,-chadema limegeuka kuwa genge la watabiri na wapiga ramli wa kisiasa,what do you expect from,lema,msigwa,sugu,dogo janja nasary,eti hili ndilo kundi washauri wa mbowe including joyce muky,halafu changanya akili ya josphine mushumbuzi plus padri slaa,unambiye jina la hiyo kachumbari ya ubongo ,kalenga chadema itaanguka,na sasa baraza kuu la taifa litakaa kudai mabadiliko ya uongozi,maana tayari naibu katibu mkuu ameambulia kushindwa kata ya jimboni kwake,huku akiacha hoja za kushindwa na kujikita kutafuta huruma za kijinga,sasa kalenga itarudi ccm,msigwa tafuta pa kujificha.
 
Chadema ikishinda Kalenga basi mimi si mpogolo. Iringa ni ngome kubwa sana ya CCM.
 
Hata hivyo kwa wanaCCM wa jimbo la Kalenga kwa kukishauri chama kisimruhusu Nape Knawie(AKA) domo kaya ,vuvuzela mropokaji) ashiriki katika kampeni hizo kunaonyesha jinsi CCM ilivyojizatiti kurudisha jimbo hilo ndani ya himaya yake.

Kwani huyo Nape si ndie alisema waziri wa fedha aliyefariki baba ya huyu dogo kwamba ni waziri mzigo?
 
Ukiwa mtu wa jf tu anaweza kufikiri kuwa hii nchi yote imebadilika!
 
msibeze na kudharau strategy za maccm. Wamehairisha baada ya kuona vuguvugu la jana hawaliwezi. Hizi mbinu za kivita, kurudi nyuma si kushindwa. Wanasoma mchezo.

Niwaombe cdm wahakikishe kila wanayeongea naye/ hata kama ni umati wawe wapiga kura. Si vibaya kuwaandaa wote hata uchaguzi ujao lakini cha msingi hapa ni numbers of voters. Hii miccm inaweza isipige hata campaign..badala yake ikaesabu wapiga kura kalenga kwa kushirikiana na tume ikaanza kuwatembelea hao. Miccm haitaki kubahatisha. Sikudhani maccm yanawapiga kura sombetini!

Cdm be strategic than ever! Tunalihitaji hilo jimbo. Kitendo cha kumweka mama kama mgombea ni ushindi tayari dhidi ya huyo mkamerooni ( ninamaana ya raia mwingereza).

ccm ni waoga sana !
 
Ha haaa haaa haaa!!! chadema ikishinda Kalenga mi Nahama hii nchi,Watanzania walishajua kwamba nyinyi ni wahuni tu wala hamna sera wala hoja zaid ya fujo! Mshaurini mwenyekiti wenu akasome kwanza!!

huhami sema unarudi kwenu ulipotoka kwani hakuna mtanzania wa kawaida anayeshabikia ccm kama wewe
 
Wanakalenga geni mfano wa Majimbo na Kata zinanzoongozwa na Makamanda, jueni kuwa hakuna kata wala Jombo ambalo linaongozwa na CDM kuwa wamepata kilelemama ,lah hasha ni pata shika yaani huwa tuanshindana na Dola pamoja na Green Guard ndiyo maana sehemu zenye uwoga ndiyo hizo washushiwa mkong'oto na policcm pamoja na Green Guard huwa wanakimbia na kuwaachia manyang'au ccm wafanye watakavyo. Hivyo kwa Ufupi safari ya Ukombozi ni ngumu na ina vikwazo na kila aina ya taabu, LAKINI KUMBUKENI SAFARI YA WANAIZRAELI KULE JANGWANI MUNGU ALIWASHINDIA HATA SISI HATATUACHA TUANGAMIE BILA MAFANIKIO. KILA LA KHERI MAKAMANDA,TUMEISHAIANZA SAFARI YA KULIKOMBOA TAIFA LETU TANGANYIKA KURUDI NYUMA MWIKO.
 
Ccm watashinda kalenga sio kwa kupendwa na wana kalenga, bali polis watatumika kutisha wapinzani na hata kukamatwa mgombea wa chadema! Ccm itakuwa huru kugawa rushwa bila bughudha!
 
Aminia cdm. Tutawaonesha kuwa ikulu inatuhusu kwani kalenga tutashinda kwa kishindo
 
Tangu muache na vijana wasomi,dr.mkumbo,zitto na baadae prof.baregu naye kuwapa kisogo katika ushauri ,-chadema limegeuka kuwa genge la watabiri na wapiga ramli wa kisiasa,what do you expect from,lema,msigwa,sugu,dogo janja nasary,eti hili ndilo kundi washauri wa mbowe including joyce muky,halafu changanya akili ya josphine mushumbuzi plus padri slaa,unambiye jina la hiyo kachumbari ya ubongo ,kalenga chadema itaanguka,na sasa baraza kuu la taifa litakaa kudai mabadiliko ya uongozi,maana tayari naibu katibu mkuu ameambulia kushindwa kata ya jimboni kwake,huku akiacha hoja za kushindwa na kujikita kutafuta huruma za kijinga,sasa kalenga itarudi ccm,msigwa tafuta pa kujificha.

Hivi CCM imekufanyia nini wewe,familia yako kama unayo,ndugu zako na jamii yako kwa ujumla mpaka unaona CDM wanakuudhi sana kuiondoa CCM madarakani kwa kuwa imewatesa Watanzania Tangu Mwaka 1961 mpaka sasa? Ebu fikiria Maisha ya Wakulima kule Tanga, Rungwe-Tukuyu, Kibena-Iringa,Pamba-Kanda ya ziwa, kama haitoshi Umeona rundo la vijana wa watoto wa Watanzania wa kawaida waliyomaliza Vyuo mbalimbali mpaka leo wanahaha kila kukicha na Bahasha za kaki wengini miaka zaidi ya mitano ikiwa ni pamoja na walim, Hospitalini akina mama wajawazito kulala chini bila sakafuni kisa hakuna vitanda, Dwa hakuna hospitalini na kila aina ya uozo unaouona? Hata hivyo tunashuhudia Viongozi wa Kiserikali kuwa wezi wa mali za umma,wameshindwa kudhibiti Thamani ya Pesa bidhaa zinapanda hovyo hovyo, Na mambo mengi ya kijinga ifanyayo serikali ya CCM, KWELI KAMA KWELI WEWE HUNA MANUFAA NA CCM Halafu unaishabikia hakika utakuwa ni zaidi ya MCHAWI.
 
Akili yako ya kwaida sana au una umbumbu wa elimu ya takwimu,ule uchaguzi mdogo wa kata 27 ndio kilikua kipimo halisi cha kuelekea 2015 na sio eneo moja la Kalenga! Nadhani hapa una ongea kwa mahaba zaidi
 
Back
Top Bottom