Kalenga wamlilia zitto kabwe

Kalenga wamlilia zitto kabwe

Status
Not open for further replies.

ifweero

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
7,957
Reaction score
1,341
KALENGA WAMLILIA ZITTO KABWE:::
Wananchi wa Kalenga wamemuuliza mgombea ubunge jimbo la Kalenga kwa nini Kamati Kuu ya Chadema ilifanya maamuzi dhidi ya Zitto kinyume na Katiba ya Chadema. Wananchi hao wamemwambia Mgombea huyo kuwa Zitto aliyekuwa Naibu Katibu angejadiliwa na Baraza Kuu kwani Naibu Katibu anatokana na Baraza Kuu.Hivyo Wananchi wamesema kuwa Zitto Kabwe alionewa na pia Katiba ya Chadema ilikiukwa kwa Maslahi ya Mbowe eendelehe kuwa Mwenyekiti wa Kifalme wa Chadema.Mgombea Ubunge huyo amewajibu na kusema suala la Zitto bado liko Mahakamani.Wananchi wa Kalenga wakaonyesha msimamo wa kutokuichagua Chadema mpaka wamemuone Zitto anafika Kalenga.
 
"Wameuliza" sasa wamelilia wapi? Wanachama wana haki ya kuuliza na wamejibiwa sijui wewe kiherehere cha nini.
 
zito kabwe anapendwa sana na watanzania wote. wanaomchukia zito ni mataahira na wachawi tu. tanzania inahitaji kiongozi msomi na mzalendo kama zito kabwe . zito kabwe ni hazina ya nchi., ni rasilimali muhimu ya nchi zaidi ya madini na gesi.
 
acha siasa za kijinga kwani zito mnafiki mkubwa yule alikuwa mbunge wa kalenga?? hakuna watu nawachukia kama hawa washenzi na wahuni wakubwa ccm
 
Wanamlilia kwani amekufa ? Acha propaganda hizo Zito ameshatumika na kilichobaki ni kutupwa.
 
KALENGA WAMLILIA ZITTO KABWE:::
Wananchi wa Kalenga wamemuuliza mgombea ubunge jimbo la Kalenga kwa nini Kamati Kuu ya Chadema ilifanya maamuzi dhidi ya Zitto kinyume na Katiba ya Chadema. Wananchi hao wamemwambia Mgombea huyo kuwa Zitto aliyekuwa Naibu Katibu angejadiliwa na Baraza Kuu kwani Naibu Katibu anatokana na Baraza Kuu.Hivyo Wananchi wamesema kuwa Zitto Kabwe alionewa na pia Katiba ya Chadema ilikiukwa kwa Maslahi ya Mbowe eendelehe kuwa Mwenyekiti wa Kifalme wa Chadema.Mgombea Ubunge huyo amewajibu na kusema suala la Zitto bado liko Mahakamani.Wananchi wa Kalenga wakaonyesha msimamo wa kutokuichagua Chadema mpaka wamemuone Zitto anafika Kalenga.

za asbuhi mkuu. naona ushaingia idarani. kazi njema mkuu.
 
acha siasa za kijinga kwani zito mnafiki mkubwa yule alikuwa mbunge wa kalenga?? hakuna watu nawachukia kama hawa washenzi na wahuni wakubwa ccm
Wewe na zitto nani mnafiki? Zitto ni ngumi jiwe
 
Ni vema wamlilie kwa kwa vile kisiasa Zitto ni marehemu kwa sasa!
 
Ni vema wamlilie kwa kwa vile kisiasa Zitto ni marehemu kwa sasa!
Nguvu na uwezo wa zitto kisiasa hapa nchini ni zaidi ya machadema, si mbowe wala slaa ambao ni mabwana zako wanamhofia vibaya mno, sembuse wewe kibaraka.
 
kumbe siku hizi mnareport kwa nkamia.me sikujua kama idara yenu iko chini ya wizara ya huyu jamaa.
Usitumie kichwa kufugia nywele tu - werema
 
we unatumia kufikiria siasa tu muda wote au? asbuhi asbuhi hata hujapiga mswaki huyooo na thread nyingi nyingi
Simama na miguu yako, usitumikishwe na kina slaa na genge lake. Utakufa maskini huku wao wakigawana ruzuku ya chama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom