Kalenga waapa kufa na CCM

Kalenga waapa kufa na CCM

Hiki kizazi cha hovyo kabisa baadhi mnaporomosha matusi tu
 
Kama wataichagua ccm HATA wakimsimamisha nani hapo ni lazima tutilia mashaka uelewa wao maana ni kwamba hata ccm waweke jambazi litapita tu! hilo siyo jambo la kujivunia. ukichunguza sana KUTO KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA NI TATIZO,VILIBA VYA KUPEMBULIA MAMBO ILI WAIJUE KWELI HAWANA.Wenzetu hatua hiyo walisha pita zamaaani kweli na ndio maana wako pale.
Hata likisimamishwa jiwe litapigiwa kura. Ccm inapendwa mno
 
Mbona wamechelewa kufa wakati CCM ilishakufa zamani tunasubiri kuizika.Kama wanauchungu na marehemu wawahi kufa kabla marehemu hajaanza kutoa funza ili tuwazike pamoja.
 
Ni kauli ya Vijana,wazee na kina mama maeneo mbalimbali ya kalenga. Wanasema ccm haina mpinzani, haina wa kuiyumbisha, watawasikiliza,watawatafakari,watacheka nao lakini hawatawapa kura zao. Wataichagua ccm bila kujali imemsimamisha nani.

my take. Hongera wana kalenga
Unawapa hongera kwa kuchagua umasikini?
 
Ccm mtaji wao mkubwa
ni ujinga na umasikini wa watanzania! Kalenga ndo mtaji wa maccm kwa
sababu wananchi wengi hawana elimu ya uraia, wanaamini mgombea anayetoa
rushwa ndo mgombea bora! Barabara nyingi vijijini hazipitiki, lakini ccm
inawarubuni wananchi bila huruma hata kidogo!

Siyo wote! Wenye upeo mdogo wa kufikili ndo wa kudanganyika!
 

Attachments

  • Hadanganyiki+mtu+hapa!.jpg
    Hadanganyiki+mtu+hapa!.jpg
    26.6 KB · Views: 55
Hakipo chama cha kushindana na CCM.

Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Kalenga kutabiri mshindi wa uchaguzi mkuu 2015, watafiti wa maswala ya kisiasa wana sema, jimbo la Kalenga limebeba sura halisi ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu kulingana na historia ya mabadiliko ya nchi yetu.

Endapo CCM itashinda jimbo hilo, basi itakuwa na nafasi ya kuibuka mshindi uchaguzi mkuu 2015, vinginevyo CHADEMA itakuwa inaingi Ikulu.
Hali ilivyo sasa ni kwamba, kundi la watu mashuhuri kama maChief na wazee wameonekana kuiunga mkono CDM jambo ambalo sio la kawaida na hivyo limeleta hofu kubwa kwa CCM na kuwafanya hata wao kutokukubaliana jinsi ya kukabiliana na vuguvugu la mabadiliko linloonekana kuwa tishio kubwa...

HAKIKA TANZANIA IMEAMKA...
 
Hata likisimamishwa jiwe litapigiwa kura. Ccm inapendwa mno

ni kwamba watu aidha hawajitambui au huwa wanatishwa kuwa waki wachagua wapinzani watajulikana na kwa hiyo watatafutiwa namna ya kuwakomoa ambao ni ujinga.lakini hakuna marefu yasiyo na mwisho!hata kule kuja kuisikiliza mikutano ya opposition ni mwanzo wa mwisho wa chama cha wezi.
 
Back
Top Bottom