Kalenga waapa kufa na CCM

Kalenga waapa kufa na CCM

Sio kila mtanzania yuko tayari kufa kwa sababu ya CCM...
 
Ni kweli watakufa nayo maana utawala wa machaifu na wafalme ulishakufa tangu wakati wa Mkoloni.....watakufa na Godfrey ambaye hataki kuhoji sababu za kifo cha baba yake ......

Wewe mbona umefiwa na mzazi wako na ndugu zako ulihoji Vifo vyao? Bichwa kubwa akili kiduchu!

Sasa unamuhoji nani Mwenyezi Mungu? Akili za kibavicha Bavicha
 
Ni kauli ya Vijana,wazee na kina mama maeneo mbalimbali ya kalenga. Wanasema ccm haina mpinzani, haina wa kuiyumbisha, watawasikiliza,watawatafakari,watacheka nao lakini hawatawapa kura zao. Wataichagua ccm bila kujali imemsimamisha nani.

my take. Hongera wana kalenga
Hongera wana Kalenga yaani Songela zigizigi wanakalenga! Maana wale watoto 1200 ambao alikuwa anawasomesha Dr Mgimwa sasa watakuwa na uhakika wa kuendelea na shule zao!

Grace tayari kashachoka ashakuwa Mzee sasa akipata ubunge atajiandalia Mafao yake!
 
Wame kuelezea mkiwa wapi? mbona mnafiki wakati bado kijana? ukizeeka utakuwa mchawi
 
Ni kauli ya Vijana,wazee na kina mama maeneo mbalimbali ya kalenga. Wanasema ccm haina mpinzani, haina wa kuiyumbisha, watawasikiliza,watawatafakari,watacheka nao lakini hawatawapa kura zao. Wataichagua ccm bila kujali imemsimamisha nani.

my take. Hongera wana kalenga

Unatujua wahehe wewe? Kwanza umetudharau kwa kauli yako isiyp kuwa na maono..kuwa sisi ni mbumbumbu wa kufikiri, hatuna vision ya maendeleo. Nikuuluze swali. Kama tunfependa mgimwa awe mb kwanini tulishawishi wengine waingie kwenye kinyanganyiro. Usidhani sisi hatupendi kila kaya ionje utamu wa madaraka, ..kinacho tupa shida ni kwanini kaya moja angali nasi watoto wetu wamesoma tena,zaidi ya huyo waliyemuwrka. Nikupe siri, sisi wahehe ni watu wa hasira sana, huwa hatusemi ila utaona ikifika.....vantu afi vyachihepa, bee folindile vise ?
 
Huo utafiti kafanya wapi? mbona kinyume kabisa mimi nipo hapa gumzo ni mwa Mvanda yaani Grace!
 
Unatujua wahehe wewe? Kwanza umetudharau kwa kauli yako isiyp kuwa na maono..kuwa sisi ni mbumbumbu wa kufikiri, hatuna vision ya maendeleo. Nikuuluze swali. Kama tunfependa mgimwa awe mb kwanini tulishawishi wengine waingie kwenye kinyanganyiro. Usidhani sisi hatupendi kila kaya ionje utamu wa madaraka, ..kinacho tupa shida ni kwanini kaya moja angali nasi watoto wetu wamesoma tena,zaidi ya huyo waliyemuwrka. Nikupe siri, sisi wahehe ni watu wa hasira sana, huwa hatusemi ila utaona ikifika.....vantu afi vyachihepa, bee folindile vise ?

Mroho wa madaraka wewe.
 
kuna watu humu Jf siku hizi wana jamani lo! wanafanya mpaka jf ipungue mvuto wake
 
Ni kweli watakufa nayo maana utawala wa machaifu na wafalme ulishakufa tangu wakati wa Mkoloni.....watakufa na Godfrey ambaye hataki kuhoji sababu za kifo cha baba yake ......
Ukiona mtu kazidiwa mara nyingi huwa hana pointi ya maana ila ni kuropoka tu. Waache watu wamchague wanayempenda na sio kuropoka mambo usiyoyajua. Tangaza sera hizo ni dalili mbaya za kushindwa kisiasa. Nenda kapumzike uangalie kwa macho na masikio kama huna la maana.
 
Onyesheni hasira siku ya kupiga kura sio humu ndani. Mpira uwanjani ndio kipimo sio. watu aina hii hawakawii kusingizia refa. Fanya mazoezi ingia kwenye kinyang'anyiro sio kusema wahehe wana hasira, wamekutuma ?
Mroho wa madaraka wewe.
 
Ccm mtaji wao mkubwa ni ujinga na umasikini wa watanzania! Kalenga ndo mtaji wa maccm kwa sababu wananchi wengi hawana elimu ya uraia, wanaamini mgombea anayetoa rushwa ndo mgombea bora! Barabara nyingi vijijini hazipitiki, lakini ccm inawarubuni wananchi bila huruma hata kidogo!
 
Back
Top Bottom