Kalenga: Umakini muhimu leo

Kalenga: Umakini muhimu leo

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
MaCCM yasiachwe hata kujumuika peke yao. Hayachelewi kuingia chumba cha kura na furushi la kadi za kupigia kura. Yamezoea wizi. Alindwe GRACE na kura zake.

Tutajieni kura za kila kituo tukokotoe wenyewe. Kila la heri
 
Haya saa 12 jioni baada ya kipigo mrudi tena muandike hayohayo, Bavicha mna akili za Kobe hata mbele hamuoni.
Leo watafute pakujificha watapata aibu ya mwaka yule mzee wao baada ya matokeo lazima akalazwe kwanza make presha itakuwa zaidi ya 200.
 
MaCCM yasiachwe hata kujumuika peke yao. Hayachelewi kuingia chumba cha kura na furushi la kadi za kupigia kura. Yamezoea wizi. Alindwe GRACE na kura zake.

Tutajieni kura za kila kituo tukokotoe wenyewe. Kila la heri
Kwa akili yako unadhani leo gongo itafanya kazi kalenga?
 
Simiyu Yetu,mbona ulinitoroka juzi? nirudishie basi changu dada
 
Last edited by a moderator:
Mungu yu Pamoja Nasi. M4C forever
Labda mungu wa tengeru ila siyo muumba mbingu make nyie kwa dhambi mnaongoza sasa tangu lini mungu hukaa na wadhambi kama chadema mlianza na shetani mtamaliza na shetani.
 
Leo watafute pakujificha watapata aibu ya mwaka yule mzee wao baada ya matokeo lazima akalazwe kwanza make presha itakuwa zaidi ya 200.

Jana alilia sana baada ya mke wake na pesa za kuhonga kukamatwa
 
Leo marehemu Chadema anaagwa rasmi katika jimbo la Kalenga
 
peopleeees.......biashara asubuhi jioni mahesabu....ap magamba ni kukomaaa nao....ukiwaacha sekunde moja tu wanaiba kura sasa ivi
 
Kwa maneno haya, ukizingatia leo Jumapili na kipindi cha Kwaresima tayari umeshindwa Kalenga.
Yaani sasahivi zilizokwisha pigwa Grace Matende 1% Geofrey Mgimwa 99%.

hujielewi baada ya kugonga mataputapu!
 
Back
Top Bottom