Kalenga kama Arumeru mashariki

huo ni wa machadema yamepeana ubunge yakiwa bungeni utadhani yapo kwenye kikao cha ukoo

wewe ni mpiga debe huna tofauti na mateja huna chako nyinyiemu mabwana zako wanaweka watoto wao na watoto wako watakula sembe mpaka wakome.Jitambue
 

Bro' kumbe ulikuwa haujui kuwa CCM ina wenyewe!!!!,Wenye CCM ni VIGOGO na familia zao wengine wanaobaki ni wasindikizaji tuuuu.
 
Naona #Ifweero kashuka JF kama mvua baada ya kupigiwa mkwara"we bado umelala tu,wapinzani wamechachamaa jf nenda kajibu mapigo nitakunyima posho ohooh!"
 
Ubunge si wa kurithishana kama mashamba , wanakalenga msikubali ubwanyenye huu - toeni adhabu kali iwe fundisho kwa watawala. kule Arumeru waliadhibiwa ila hawajakoma.
 
Mungu tunusuru, huyu shetani ccm anataka kuliangamiza taifa kabisa kwa kutuletea uongozi wa kifamilia.
 
wanaisi iinchi niyao nawazazi wao ngoja wakamuliwe kamasi wajielewe kuwa watu awaangalii baba yako alikuwa nani serekalini
 
ccm inawenyewe na si hawa waramba miguu waliojazana hapa jf wakizisotea buk 7!!!
 
chadema mnatapatapa wenyewe mpaka aibu ! Hahahahahahahahaahah mgimwa mbunge anayesubiri kuapishwa kalengaaaa, mtachonga sana
 
chama cha mapepo kinafaa kukemewa na kutupiliwa kuzimu
 
buk 7 itakutesa sana,jiandae kwa kutafuta shughuri halali na si hii ya kitumwa ya buk 7 kwani kuanzia 2015 itakoma baada ya chama chakavu kufa!!!

Usije kuta ni huyu hapa anasuburi kuripoti mambo ya chama.Hapo karidhika kabisa na. buk 7 na kwake ni sherehe tuu


Sent from my iPad using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…