Hali zenu wana jamvi,
Leo hii ningependa kuleta mada ambayo ki ukweli haina majibu ya kueleweka kichwani mwangu. Hakuna asie jua kuwa wanawake huwa wana kaharufu ambako ki ukweli kanakera mno ambacho huwa inatoka kwenye tupu zao. Wengi wao huweka miski, hufukiza udi, hupaka manukato, hupaosha na sabuni na njia nyingine nyiiingi. Swali langu ni kwamba njia ipi ni bora kiafya ambayo itatokomeza kabisa harufu hiyo ya kunako? Maana nasikia nyingi zao zinaweza kupelekea kansa ya uke