damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,465
umeongea as if ni wote.....binafsi sijawahi kukutana na mwanamke mwenye hako kaharufu..
Na original vagina odor ina stimulate sana for someLabda utoe kwanza elimu ya Kansa ya uke na uleze na dalili ,vyanzo vingine na jinsi ya kujikinga!
Halafu sidhani kama kila harufu inatakiwa iondoke na ni tatizo!
Vagina odor?
Acha kuzoa watu wasiojua kujiswafi......hakuna kaharufu kakukera kama mtu ni msafi zaidi harufu safi ya papuchi yenyewe.
Mh!!! Kweli leo jpili,inaonekana unaokutana nao ndo wana harufu inayokukera,kwa asili mwanamke ana harufu fulani nzuri ya kike ambayo haikeri bali inahamasisha kunako 6×6,hata ukizama uvinza iko poa ilimradi awe msafi.
Wenzako huwa wanalamba pale, sasa sjui watakuelewa
umeongea as if ni wote.....binafsi sijawahi kukutana na mwanamke mwenye hako kaharufu..
inawezekana unazolokota wewe ndio zina harufuHali zenu wana jamvi,
Leo hii ningependa kuleta mada ambayo ki ukweli haina majibu ya kueleweka kichwani mwangu. Hakuna asie jua kuwa wanawake huwa wana kaharufu ambako ki ukweli kanakera mno ambacho huwa inatoka kwenye tupu zao. Wengi wao huweka miski, hufukiza udi, hupaka manukato, hupaosha na sabuni na njia nyingine nyiiingi. Swali langu ni kwamba njia ipi ni bora kiafya ambayo itatokomeza kabisa harufu hiyo ya kunako? Maana nasikia nyingi zao zinaweza kupelekea kansa ya uke
Tiba yake inagharama kubwa sana.
Lakini kuna dawa maalum kwa minajili ya kuepusha harufu kabisa.
Mkuu wapo usikatae ukikumbana nae ni sheeedaa...
Wenzako huwa wanalamba pale, sasa sjui watakuelewa