Kale kabinti kalikotoroka Saudia na Kupewa hifadhi ya ukimbizi Canada kana miguu mikareee

manenemane

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
290
500
povuuuuu hatuoniiiiiii
tuu. Ni ushoga mbere kwa mbereeeee
hakuna kifungu au aya ama mstari popote pale ambapo Bwana yule ame rukhusaa watu watumie nyeti zao kwa namna yako!

halafu mnakoseaga sana, mzee Mudi yeye alikuwa anavioa vibinti vidogo dogo ili aijaze dunia...nyie mlivyo butu mnaviua..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
14,030
2,000
Umeandika pumba kaka. Huna ushahidi kuwa huyo binti ni msagaji? Umtokwa na povu hapa utafkiri mwana.. kumbe uko bongo unachomwa na jua.

Pili unatukana dini za wenzio kitu ambacho si cha kistaarab.
Kama ulikuwa na fact ungeziandika vizur. Si matusi
Ya waarabu waachieni wenyewe waarabu na msiuingize ushenzi wa waarabu na tamaduni zao mbofumbofu na Uislamu
Tatizo ni kabinti ni msagaji au anahamu hamu ya kusagwa na hana jinsi ni lazima atafute zile nchi za "ASIFIWE MILELE" ndizo zimehalalisha ushoga uzinzi usagaji na kutembea uchi ni rukhsaaaa sasa mnategemea nini?????
Wakiristo wa Tanzania msiuchukie Uislamu kwa mapungufu yenuSent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Licking Wounds

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,663
2,000
Kuna jamaa yangu amekwenda kule na familia yake huku uswazi alikuwa na maisha mazuri sana tu. Sasahivi anajuta kwa nini amekwenda kule, pia kuna mshkaji wangu wa ilala amekwenda Canada pia mwezi wa 3 huu anasema anarudi hakuwezi. Nimemuuliza kwanini tena na ulikuwa na hamu ya ulaya wakati hapa alikuwa na duka,gari na nyumba yake na anasafiri dubai,china na india. Anasema kaka huku hakunifai narudi, usilolijua usiku wa kiza huo ndio usemi wa wahenga. Huyu dogo sijui kama ataweza flip burger Mcdiz au pale KFC kama kaka Kukukabanga(Limutuz)


Ndukiiiii ♂️♂️♂️
What's your point?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toyota escudo

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
3,346
2,000
Inaonekana hujanifahamu ipo hivi:- Saudia Arabia kwao nahakika kuna wafanyakazi wa nyumbani wakati Canada hatokuwa nae. Kila kitu atajifanyia mwenyewe, atakuwa mpweke baada ya kazi rafiki yake mkubwa Tv. Mtoto wa kula kulala leo anafanya kazi masaa 8 au 10, mzungu akikutuma anahakikisha unafanya kazi hakuna kuzembea. Mwisho wa siku namtakia maisha mema pamoja na wewe mkuu


Ndukiiiii ♂️♂️♂️
Sentensi ya mwisho nimeipenda zaidi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom