Kale kabinti kalikotoroka Saudia na Kupewa hifadhi ya ukimbizi Canada kana miguu mikareee

Statarea

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
895
1,000
Kuna jamaa yangu amekwenda kule na familia yake huku uswazi alikuwa na maisha mazuri sana tu. Sasahivi anajuta kwa nini amekwenda kule, pia kuna mshkaji wangu wa ilala amekwenda Canada pia mwezi wa 3 huu anasema anarudi hakuwezi. Nimemuuliza kwanini tena na ulikuwa na hamu ya ulaya wakati hapa alikuwa na duka,gari na nyumba yake na anasafiri dubai,china na india. Anasema kaka huku hakunifai narudi, usilolijua usiku wa kiza huo ndio usemi wa wahenga. Huyu dogo sijui kama ataweza flip burger Mcdiz au pale KFC kama kaka Kukukabanga(Limutuz)

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Canada siyo ulaya.
.
Alafu mama FaizaFoxy njoo huku uone shubahamit
 
St Lunatics

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,596
2,000
Huyo kashatafutiwa kazi UNHCR.
Inaonekana hujanifahamu ipo hivi:- Saudia Arabia kwao nahakika kuna wafanyakazi wa nyumbani wakati Canada hatokuwa nae. Kila kitu atajifanyia mwenyewe, atakuwa mpweke baada ya kazi rafiki yake mkubwa Tv. Mtoto wa kula kulala leo anafanya kazi masaa 8 au 10, mzungu akikutuma anahakikisha unafanya kazi hakuna kuzembea. Mwisho wa siku namtakia maisha mema pamoja na wewe mkuu

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
ben milazo

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
995
2,000
Tuliondoka usiku wa manane wakati kila mmoja nyumbani alikua
amelala. Ilikua hali ya kutia hofu sana.
Hatukuweza kuendesha gari kwa hivyo tuliitisha texi. Bahati
nzuri karibu kila dereva wa texi Saudia anatokea nchi za kigeni
kwa hivyo hawakuona ajabu kutuona tukisafiri peke yetu.
Tulielekea Uwanja wa ndege wa kimataifa wa King Khalid uliyopo
karibu na mji wa Riyadh.
Kama mtu yeyote angelijua kile tulichokua tunafanya nadhani
tungeliuawa.
Mwaka wa mwisho wa masomo yangu nilikua nikifanya kazikatika
hospitali moja na niliweza kuweka akiba ya kununua tiketi ya
ndege na visa ya kupitia Ujerumani.
Pia nilikua napokea pesa zinazotolewa na serikali kwa vijana
wasiyokua na kazi kwa hivyo ilinisaidia pakubwa kuweka akiba.
Niliweza kuabuiri ndege ya kwenda Ujerumani na dada yangu.
Waislamu wavamia Kanisa baada ya utabiri
Ilikua mara yangu ya kwanza kupanda ndege na kwa kweli
nilikua na furaha isiyokua na kifani.
Nilikua na furaha, nilikua na uoga yani nilikua na hisia ya kila
kitu.
Baba yangu alipiga simu polisi alipogundua hatukua nyumbani
lakini alikua amechelewa sana.
Kwasababu nilikua nimebadilisha namba yake ya simu katika
akaunti yake ya wizara ya mambo ya ndani walipojaribu
kumpigia simu walikua wananipigia mimi.
Tulipotoka ndani ya ndege , nilipokea ujumbe wa polisi uliokua
umetumiwa baba yangu..
kuwasili
Hakuna maisha Saudi Arabia. Nilikua nikienda chuoni na kurudi
nyumba na sikuruhusiwa kufanya kitu kikingine chochote siku
nzima.
Walikua wakinikejeli kwa usemi kuwa wanaume pekee ndio wenye
uwezo.
Nililazimishwa kusali na kufunga kula.
Nulipofika Ujerumani nilitafuta msaada wa kisheria ili nipewe
wakili atakaenisaidia na kutafuta hifadhi.
Nilijaza fomu kadhaa kuelezea kisa changu.
Nilichagua Canada kwasababu ya historia yake nzuri ya kulinda
haki za binadamu.
Habari kuhusiana na wakimbizi wa Syria kupewa hifadhi Canada
ilinifanya kuvutiwa sana na taifa hilo.
Ndio maana nikaamua hapo ndipo mahali pazuri kwangu kupata
hifadhi.
Ombi langu lilikubaliwa na nilipotua Torontoniliona bendera ya
Canada katika uwanja wa ndege na nilijivunia sana juhudi
zangu.
Mimi na dada yangu leo tunaishi Montreal bila hofu yoyote.
Hakuna mtu yeyote hapa anaetulazimisha kufanya lolote.
Huenda Sadia kuna pesa nyingi laki mara mia bora hapa kwa
sababu nikitaka kutoka ndani ya nyumba sihitaji kupewa idhini,
natoka tu.
Uhuru huo unanifanya kuwa na furaha sana. Najisikia huru
kuvalia nguo yoyote ninayoka.
Napendezwa na hali ya hewa hapa....msimu wa joto na hata
wakati wa baridi kali nafurahia kuona theluji.
Najifunza lugha ya kifaransa lakini nikigumu sana!
Pia najifundisha kuendesha baisikeli,kuogelea na kuteleza
kwenye barafu.
Najihisi kuwa naisha yangu yanaimarika.
Sina mawasiliano na jamaa zangu lakini nadhani ni jambo jema
kwetu na kwao pia.
Hapa ni nyumbani na sijutii hatua yangu.
 
manenemane

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
290
500
masikini.! kama kangebakia au kurudi kwao Arabuni SASA hivi kangekuwa kanatafunwa na wadudu kila sehemu ya mwili..

tena kangekatwa bichwa na lile jambia...eti god kaamuru hivyo...laanaakum wahedi kabisaa

cc.FAIZA foxy
Ya waarabu waachieni wenyewe waarabu na msiuingize ushenzi wa waarabu na tamaduni zao mbofumbofu na Uislamu
Tatizo ni kabinti ni msagaji au anahamu hamu ya kusagwa na hana jinsi ni lazima atafute zile nchi za "ASIFIWE MILELE" ndizo zimehalalisha ushoga uzinzi usagaji na kutembea uchi ni rukhsaaaa sasa mnategemea nini?????
Wakiristo wa Tanzania msiuchukie Uislamu kwa mapungufu yenuSent using Jamii Forums mobile app
 
Escaper

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
1,784

Mimi ni muislamu ila wewe ni mjinga sana, huwezi tetea dini ya allah kisha uzihaki dini ya wenzio kiufupi ulipaswa kuishia hapo juu kwenye neno Uislamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LIKE

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
4,719
2,000
Ya waarabu waachieni wenyewe waarabu na msiuingize ushenzi wa waarabu na tamaduni zao mbofumbofu na Uislamu
Tatizo ni kabinti ni msagaji au anahamu hamu ya kusagwa na hana jinsi ni lazima atafute zile nchi za "ASIFIWE MILELE" ndizo zimehalalisha ushoga uzinzi usagaji na kutembea uchi ni rukhsaaaa sasa mnategemea nini?????
Wakiristo wa Tanzania msiuchukie Uislamu kwa mapungufu yenuSent using Jamii Forums mobile app

hivi huko hakunaga magereza au adhabu nyingine tofauti na kukatwa bichwa au kupigwa mawee?

hizo sharia mbona hapa bongo hamzitaki.. ila ni kushadadia vibinti vidogo arabuni kudedishwa kinyambilisi nyambilisi.!!

kama binti bikra anadedishwa kinyama hivyo,najiuliza jambazi au muuaji wa huko aanapewa adhabu gani!?

na wewe ungempiga mawe!?
 
Ushoga na usagaji rukhsaaaa!!!
Bwana Asifiwe ?!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LUKAMA

JF-Expert Member
May 28, 2017
684
1,000
Tuliondoka usiku wa manane wakati kila mmoja nyumbani alikua
amelala. Ilikua hali ya kutia hofu sana.
Hatukuweza kuendesha gari kwa hivyo tuliitisha texi. Bahati
nzuri karibu kila dereva wa texi Saudia anatokea nchi za kigeni
kwa hivyo hawakuona ajabu kutuona tukisafiri peke yetu.
Tulielekea Uwanja wa ndege wa kimataifa wa King Khalid uliyopo
karibu na mji wa Riyadh.
Kama mtu yeyote angelijua kile tulichokua tunafanya nadhani
tungeliuawa.
Mwaka wa mwisho wa masomo yangu nilikua nikifanya kazikatika
hospitali moja na niliweza kuweka akiba ya kununua tiketi ya
ndege na visa ya kupitia Ujerumani.
Pia nilikua napokea pesa zinazotolewa na serikali kwa vijana
wasiyokua na kazi kwa hivyo ilinisaidia pakubwa kuweka akiba.
Niliweza kuabuiri ndege ya kwenda Ujerumani na dada yangu.
Waislamu wavamia Kanisa baada ya utabiri
Ilikua mara yangu ya kwanza kupanda ndege na kwa kweli
nilikua na furaha isiyokua na kifani.
Nilikua na furaha, nilikua na uoga yani nilikua na hisia ya kila
kitu.
Baba yangu alipiga simu polisi alipogundua hatukua nyumbani
lakini alikua amechelewa sana.
Kwasababu nilikua nimebadilisha namba yake ya simu katika
akaunti yake ya wizara ya mambo ya ndani walipojaribu
kumpigia simu walikua wananipigia mimi.
Tulipotoka ndani ya ndege , nilipokea ujumbe wa polisi uliokua
umetumiwa baba yangu..
kuwasili
Hakuna maisha Saudi Arabia. Nilikua nikienda chuoni na kurudi
nyumba na sikuruhusiwa kufanya kitu kikingine chochote siku
nzima.
Walikua wakinikejeli kwa usemi kuwa wanaume pekee ndio wenye
uwezo.
Nililazimishwa kusali na kufunga kula.
Nulipofika Ujerumani nilitafuta msaada wa kisheria ili nipewe
wakili atakaenisaidia na kutafuta hifadhi.
Nilijaza fomu kadhaa kuelezea kisa changu.
Nilichagua Canada kwasababu ya historia yake nzuri ya kulinda
haki za binadamu.
Habari kuhusiana na wakimbizi wa Syria kupewa hifadhi Canada
ilinifanya kuvutiwa sana na taifa hilo.
Ndio maana nikaamua hapo ndipo mahali pazuri kwangu kupata
hifadhi.
Ombi langu lilikubaliwa na nilipotua Torontoniliona bendera ya
Canada katika uwanja wa ndege na nilijivunia sana juhudi
zangu.
Mimi na dada yangu leo tunaishi Montreal bila hofu yoyote.
Hakuna mtu yeyote hapa anaetulazimisha kufanya lolote.
Huenda Sadia kuna pesa nyingi laki mara mia bora hapa kwa
sababu nikitaka kutoka ndani ya nyumba sihitaji kupewa idhini,
natoka tu.
Uhuru huo unanifanya kuwa na furaha sana. Najisikia huru
kuvalia nguo yoyote ninayoka.
Napendezwa na hali ya hewa hapa....msimu wa joto na hata
wakati wa baridi kali nafurahia kuona theluji.
Najifunza lugha ya kifaransa lakini nikigumu sana!
Pia najifundisha kuendesha baisikeli,kuogelea na kuteleza
kwenye barafu.
Najihisi kuwa naisha yangu yanaimarika.
Sina mawasiliano na jamaa zangu lakini nadhani ni jambo jema
kwetu na kwao pia.
Hapa ni nyumbani na sijutii hatua yangu.
ume copy BBC kama ilivo aise ila sio ya binti huyu
 
Zeus1

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
5,095
2,000
Ya waarabu waachieni wenyewe waarabu na msiuingize ushenzi wa waarabu na tamaduni zao mbofumbofu na Uislamu
Tatizo ni kabinti ni msagaji au anahamu hamu ya kusagwa na hana jinsi ni lazima atafute zile nchi za "ASIFIWE MILELE" ndizo zimehalalisha ushoga uzinzi usagaji na kutembea uchi ni rukhsaaaa sasa mnategemea nini?????
Wakiristo wa Tanzania msiuchukie Uislamu kwa mapungufu yenuSent using Jamii Forums mobile app
So kama binti ni msagaji apigwe panga??

Umeandika madudu gani sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom