Kale kabinti kalikotoroka Saudia na Kupewa hifadhi ya ukimbizi Canada kana miguu mikareee

St Lunatics

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,671
2,000
Kama anaakili sky is her limit.
Kuna jamaa yangu amekwenda kule na familia yake huku uswazi alikuwa na maisha mazuri sana tu. Sasahivi anajuta kwa nini amekwenda kule, pia kuna mshkaji wangu wa ilala amekwenda Canada pia mwezi wa 3 huu anasema anarudi hakuwezi. Nimemuuliza kwanini tena na ulikuwa na hamu ya ulaya wakati hapa alikuwa na duka,gari na nyumba yake na anasafiri dubai,china na india. Anasema kaka huku hakunifai narudi, usilolijua usiku wa kiza huo ndio usemi wa wahenga. Huyu dogo sijui kama ataweza flip burger Mcdiz au pale KFC kama kaka Kukukabanga(Limutuz)

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
14,176
2,000
iIla haka kabinti hakufanyia vizuri baba yake alipoenda kumjulia hali Thailand akiongozana na kaka yake. Wanadai baba yake alirudi Saudi Arabia kwa huzuni sana. Laana ya baba ni mbaya sana. Angejaribu kureconcile na mshua kabla hajaenda canada ama ampigie simu
Thailand haikuwa ground zero kwakweli. It was too risky.
Mazungumzo yafanywe akiwa canada tena kwenye ulinzi .. ili wasije perform jambo baya. Waarab huwa hawachelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
14,176
2,000
History itajirejea kama yule mwana Mfalme wa Bahrain alipo kimbia na mwanajeshi. Kuona life ya wabeba boksi ilivyo ya masaa 8 au 10 mpaka 12. Halafu mwanajeshi wenyewe akiacha kazi ya jeshi anaishia kufanya kazi za viwandani. Huyu hana muda utasikia anataka kurudi kwao, kuishi Ulaya unatakiwa uwe na roho ngumu.

Ndukiiiii
Tofauti na wakimbiz wengine . Huyu sidhani kama itakuwa hivyo kwake. Kama amesick asylum. Ina maana baadhi ya mashirika yatakuwa yana muangalia... evn offering her perment job.

Tofauti na wale wakimbizi mbigiri wanakuja kwa boat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kilwakivinje

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
3,324
2,000
iIla haka kabinti hakufanyia vizuri baba yake alipoenda kumjulia hali Thailand akiongozana na kaka yake. Wanadai baba yake alirudi Saudi Arabia kwa huzuni sana. Laana ya baba ni mbaya sana. Angejaribu kureconcile na mshua kabla hajaenda canada ama ampigie simu
Wamemtesa Sana wamekata nywele zake wanamfungia ndani na kangerudi wangechinja
 
Capitano

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
1,959
2,000
mpaka shoga siku hizi anakimbilia ulaya akisema anakimbia kuchinjwa
Nishakutana hata na wabongo nao eti wanaogopa kuchinjwa wakirudi Tz. Kitobe upo? nasikia upo humu JF maana wewe ndo utanielewa vizuri. Nani mwingine Bakashmar hebu changia hoja hapa maana na wewe ulidai kwasababu ni cuf ukirudi utachinjwa. Nawajua wabongo 9 wapo huko na sababu ya kupata hadhi ya ukimbizi ni kuwa watauawa na sirikali. Ila kuna mmoja aliniomba msaada ili arudi Bongo
 
Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
10,250
2,000
Huko kw
Watakaua hako kabinti kikatili sana. Mwarabu mtumwa wa Allah haaminiki hata kama ni baba yake.
kwa wazungu kuna Uhuru gani,ikiwa hata jina la Mwanamke,anapoolewa anatakiwa kisheria achukuwe ubini wa mume wake,kama kweli kuna Uhuru wa wanawake kwa nini mwanamme asichukuwe ubini wa mwanamke,kwa mfano mume aitwe Mr Joseph Monica au Mr Tyson Jenipher.Hii tu ya kumlazimisha Mwanamke kuchukuwa ubini wa mume,ni mfumo dune,na unyanyasaji wa hali ya juu.Wacha kumuanika mwanamke bila nguo kwenye matangazo ya biashara,wakati mwanamme,anavyaa nguo zake kamili.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,740

wAPI KUNA SHERIA HIYO ??
 
Toyota escudo

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
3,350
2,000
History itajirejea kama yule mwana Mfalme wa Bahrain alipo kimbia na mwanajeshi. Kuona life ya wabeba boksi ilivyo ya masaa 8 au 10 mpaka 12. Halafu mwanajeshi wenyewe akiacha kazi ya jeshi anaishia kufanya kazi za viwandani. Huyu hana muda utasikia anataka kurudi kwao, kuishi Ulaya unatakiwa uwe na roho ngumu.

Ndukiiiii ♂️♂️♂️
Kwani Canada ni ulaya?
 
Toyota escudo

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
3,350
2,000
Kuna jamaa yangu amekwenda kule na familia yake huku uswazi alikuwa na maisha mazuri sana tu. Sasahivi anajuta kwa nini amekwenda kule, pia kuna mshkaji wangu wa ilala amekwenda Canada pia mwezi wa 3 huu anasema anarudi hakuwezi. Nimemuuliza kwanini tena na ulikuwa na hamu ya ulaya wakati hapa alikuwa na duka,gari na nyumba yake na anasafiri dubai,china na india. Anasema kaka huku hakunifai narudi, usilolijua usiku wa kiza huo ndio usemi wa wahenga. Huyu dogo sijui kama ataweza flip burger Mcdiz au pale KFC kama kaka Kukukabanga(Limutuz)

Ndukiiiii ♂️♂️♂️
Huyo kashatafutiwa kazi UNHCR.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom