Natazama Cloud TV hapa naona Kalapina ana host kipindi kinaitwa " HARAKATI NA KALAPINA " a.k.a TANZANIA BILA DAWA ZA KULEVYA INAWEZEKANA.
Da nikikumbuka enzi hjizo 2004/2005 Pina alivyo rejea kutoka Dubenga, ye na troup yake walikuwa na bifu kubwa sana na Clouds Media. Sasa hivi ndo maswahiba... AMA KWELI CLOUDS HAWANA ADUI WA KUDUMU