mchina noma kuna hadi saa ya mkononi inarekodi audio na visual kwa mnaoplay detective hapo ndo mwake hadi miwani ipo
Hadi kifungo cha shati kipo
<br /><font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">vinapatikana wapi hivi vitu wapendwa.....?</span></font></font>
mi ndiye ninayeviuza kimagendo, just PM and we will make a deal
Ahahahaaah!! Mwendabure bwana inabidi uendane na sayansi na teknolojia...Sina mali, sina deni! Yanini yote hayo mie Mwendabure? Ngoja nipite tu hapa.
<br />Wakuu kwa mwenye ufahamu anisaidie.nimenunua kalamu yenye camera,video,audio na flash.haina manual.naambiwa yaweza record sauti,video,picha za kawaida.ila nimeweza kupiga picha tu na nimeziona kwenye computer.sasa vipi kuhusu kurekodi,na video? Naulizia