Kalag baho na jimama langu la kiitali lililonizidi kila kitu leo ndani ya Mtende- makunduchi

Kalag baho na jimama langu la kiitali lililonizidi kila kitu leo ndani ya Mtende- makunduchi

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
11,293
Reaction score
25,771
Asee dunia kubwa,

Narudia tena wazee dunia kubwa sana. Leo nimelitoa out jimama la kizungu nililolipata miezi kadhaa nyuma huku nikilipelekea moto kila siku mana halina period. Age went!

Tumekuja maeneo ya makunduchi kula bulgogi, lavasta na manalkeesh. Kuna upepo wa kutosha na watoto wengine wazuri tu. Yani inshort ni kama niko karibe nacheza raga na afrikan salsa.

Kuna mmasai anamvizia nae anataka kumuomba namba asee nitamtoa shingo yeyoo! Pumbavu kabisa.

Kalaga baho!

 
Screenshot_20250323-102603~2.jpg
 
Back
Top Bottom