Msanii maarufu wa muziki wa kufoka foka (hiphop) anasema baada ya kumzingua na kumletea uzinguzi katika nafasi ya udiwani aliyoigombea uchaguzi uliopita, sasa amejipanga vema katika idara zote ili kulinyakua jimbo la Kinondoni na kuwapigania wanyonge wa Kinondoni wanaoliwa vya kwao na wachache.
Hayo ameyasema leo wakati akihojiwa katika kipindi cha Leo Tena (clouds fm). Ameongeza kuwa angekuwepo bungeni wakati wa sakata la escrow angewapigania wanakinondoni by any means hata kama ni kwa kuwapa vitasa wahusika.
Sugu amesababisha kila mvuta bangi kujiona anafaa kuwa Mbunge.
Mkuu, hivi huyu Sugu anavuta Bangi? Sikuwa na habari! Ila naona kama vile bangi lake linamsaidia bungeni kwa pointi za ukweli...
Jamaa ni CUF damu kama alivyo Juma Nature, nadhani alishagombea Uenyekiti wa Serikali ya Mtaa au Udiwani kupitia CUF lakini akaanguka katika mchujo wa ndani ya chama.
Huyu jamaa alikuwa mshikaji wake sana Miraji wakati huo mkuu wa kaya akiwa Waziri. Yeye ndiye alimuingiza Miraji kwenye uteja wa bangi na sembe, kama ilivyokuwa kwa marehemu Langa (RIP). Kama hajabadilika mpaka sasa, basi huyu ni kijana wa kuogopa kama ukoma, usiruhusu kijana wako akawa na urafiki naye.
Ova
jana wakati akihojiwa alisema yeye amewafundisha wengi kwa kupitia nyimbo zake,na pia alikuwa na harakati za kutokomeza vijana kuacha madawa ya kulevya kinondoni
niliposoma kwa haraka nikajua anagombana, kumbe anagombea, maana hulka yake huwa ni kugombana, sawa mbunge mgomvi.
Sugu amesababisha kila mvuta bangi kujiona anafaa kuwa Mbunge.
Sugu amesababisha kila mvuta bangi kujiona anafaa kuwa Mbunge.
Shilole mwakani anagombea Igunga kwa tiketi ya CCM