Umetumia maneno mengi basi plain!
Kakobe anaongoza maelfu ya waumini,ambao ana uwezo mkubwa sana wa KU-CONTROL & MANIPULATE their mindsets
Can you actually prove kanisa lenye PhD holders, professors, professionals wa kila aina wamekuwa manipulated na kuwa-controlled na Kakobe!!
ndiyo sikutaka kubishana na wewe ila next time, peleleza kwanza, what we think and hear is sometime very far away from the truth.
Sisali kwa kakobe usifikir muumini wake, but i know him
naanza kupata mashaka na uelewa wako wa kawaida mkuu...DO YOU THINK THAT PhD holders, Professors,na Professionals wa kila aina hawawezi kuwa MANIPULATED??? Umewahi kusikia kitu kinaitwa SICK SOULS?? Kwa taarifa yako sasa,SICK SOULS ni ugonjwa unaompata mtu YEYOTE,hata awe na PhD mia mbili,uliza mkuu,si vibaya kuelimishwa,this is JF....
Mkuu ulishachemsha tangu awali naona unajificha kwenye kivuli cha kuwa hii ni JF!! kwa taarifa yako maamuzi ya Kakobe hafanyi yeye mpaka wazee wa kanisa lake wapatao 40 wakae na kuamua! umetoa tuhuma za uongo na nimekueleza hujafanya utafiti wako , naona unarudi na kusema hii ni JF! unifundishe!! Kakobe hakwenda TANSECO walienda wazee wa kanisa kutoa malalamiko yao! hawakuelewana na uongozi wamerudi wamefanya kikao na wakaamua jinsi walivyoamua, sasa hiyo ya Kakobe kuwa anawacontrol na kuwa manipulate inatoea wapi??
Haya wewe unayeijua JF zidi kunifundisha, ulishachemsha ukapewa ushauri fanya utafiti, umerudi na theory za awali zile zile! haya ugonjwa huu unaitwaje tena?? ugonjwa wa kutopokea ushauri kiungwana??
angalia na upepo wa watu walivyoipokea meseji yako, umetoa lawama pasipo, JF si wote wana akili kama wewe!!
JF hii hii huwa tunatoa taarifa kwa utafiti pia!! this very same JF where you can teach me, you know what, I am ready kufundishwa na wewe!
sick soul??!!! kwa hiyo members wote wa kakobe wako depressed and pessimistic? maana kwa knowledge yangu ya kawaida sick soul ni watu walio drepreesed and pessimistic, sijajua correlation ya sick soul and manipulation, yes kama wapo siamini pia wote wanaugonjwa huo!
Can you kindly give us that reference so that we may know more about this sick souls?? as you said JF ni kisima cha elimu
Aende zake alipokuwa akijenga hilo kanisa hakujua kuwa kuna barabara? na kwa nini asitoe hati kama ameonewa? anajenga barabarani halafu anataka kutumia ushawishi wa dini kukwamisha maendeleo! piga nyundo kanisa lile!
Mkuu ulishachemsha tangu awali naona unajificha kwenye kivuli cha kuwa hii ni JF!! kwa taarifa yako maamuzi ya Kakobe hafanyi yeye mpaka wazee wa kanisa lake wapatao 40 wakae na kuamua! umetoa tuhuma za uongo na nimekueleza hujafanya utafiti wako , naona unarudi na kusema hii ni JF! unifundishe!! Kakobe hakwenda TANSECO walienda wazee wa kanisa kutoa malalamiko yao! hawakuelewana na uongozi wamerudi wamefanya kikao na wakaamua jinsi walivyoamua, sasa hiyo ya Kakobe kuwa anawacontrol na kuwa manipulate inatoea wapi??
Haya wewe unayeijua JF zidi kunifundisha, ulishachemsha ukapewa ushauri fanya utafiti, umerudi na theory za awali zile zile! haya ugonjwa huu unaitwaje tena?? ugonjwa wa kutopokea ushauri kiungwana??
angalia na upepo wa watu walivyoipokea meseji yako, umetoa lawama pasipo, JF si wote wana akili kama wewe!!
JF hii hii huwa tunatoa taarifa kwa utafiti pia!! this very same JF where you can teach me, you know what, I am ready kufundishwa na wewe!
sick soul??!!! kwa hiyo members wote wa kakobe wako depressed and pessimistic? maana kwa knowledge yangu ya kawaida sick soul ni watu walio drepreesed and pessimistic, sijajua correlation ya sick soul and manipulation, yes kama wapo siamini pia wote wanaugonjwa huo!
Can you kindly give us that reference so that we may know more about this sick souls?? as you said JF ni kisima cha elimu
Hajajenga barabarani, kajenga kwenye kiwanja kilicho pembeni ya barabara.
Tanesco wababaishaji,huwezi kupitisha umeme mkubwa pale,si kakobe peke yake atakayepata madhara,wakazi wa maeneo yale pia watapata madhara makubwa.

unarukaruka sana mkuu, hoja yako ni ipi sasa?? nilikuelimisha mwanzo kabisa,kwamba 'MWANASIASA' hapa inamaan yake plain....ukaja na ishu za wasomi na professionals kwa Kakobe, kwamba eti hawawezi kuwa manipulated!! Nimekujibu,umebadilika tena!! Unajua maana ya TUHUMA mkuu?? Je,unadhani kikao cha WAZEE 40 hakiwezi kukosea pia?? Au hujui kwamba kikao kinaweza kuwa cha watu wengi lakini mwenye final say akawa mmoja?? By the way, unaweza kutuambia walichoenda kuongea TANESCO? Na unadhani maamuzi waliyochukua kwa sasa ni sahihi?? Soma vizuri hoja yangu mwanzo kabisa,then anza kujibu upya mkuu......