labda kwa huyo sheikh; lakini huyo bw. kakobe ameanza kuchoka baada ya kulumbana sana na serikali kuhusu lile sakata la umeme.
aidha kashfa zake za hivi karibuni zimefichua kuwa kwa upande wa maadili, ambayo ndiyo nguzo ya ushawishi katika jamii, amekosa kwa kuwatumia wafuasi wake kama vitendea kazi.
tatu, bw kakobe ambaye ni swahiba wa mrema. sasa amesalitiwa na mrema ambaye ni pro-ccm na wakati serikali ya chama hicho kinatishia usalama wa uwekezaji wa huyo mr