Kakakuona aonekana Kongowe

Kakakuona aonekana Kongowe

qaxemvule

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
231
Reaction score
120
Leo asubuhi ya tar 21/06/2023 ameonekana mnyama aina ya kakuona katika kijiji cha Kipala mapakani Kongowe kata ya Mwandege wilaya ya Mkuranga wakamuweka katika ofisi ya kijiji watu wamuwekea vitu mbalimbali lakini kagoma kungusa kitu chochote!

20230621_140817.jpg
 
Hiyo rangi ya kanga ndo shida,mgemwekea ya kijani kama Ile ya pale mitaa ya jangwani ingekuwa poa sana sana
 
Leo asubuhi ya tar 21/06/2023 ameonekana mnyama aina ya kakuona katika kijiji cha Kipala mapakani Kongowe kata ya Mwandege wilaya ya Mkuranga wakamuweka katika ofisi ya kijiji watu wamuwekea vitu mbalimbali lakini kagoma kungusa kitu chochote!

Aisee
adriz hili suala unalionaje?
 
Back
Top Bottom