kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Mzee Mwinyi kakaa miaka 10 hakuyamaliza, Mzee Mkapa nae kakaa miaka 10 hakuyamaliza. Mie nimekaa miaka mitano hayakwisha na nitamaliza mitano hayataisha yote.
nashangaa hii kauli aliitoa baada ya uchaguzi kwanini asingeitoa kabla au kwenye kampeni zake?
nashangaa hii kauli aliitoa baada ya uchaguzi kwanini asingeitoa kabla au kwenye kampeni zake?