Sasa si ndo matumizi ya kioo yanapohitajika?? Au unadhani kazi ya vioo ni nini kwa mfano??? LOL
Kaka zangu, mkifikia stage hii ni kuwa mkiwa mnaoga hamwezi kuona viungo vyenu vyote Mungu alivyoviumba, hii ni hatari sana.
Wanapooga.
Khe kuna raha yake kuona viungo vyako vyote kwa macho si c/o ya kioo.
Hahahahaa umekomaa... duh!!Zile ni accessories mkuu, kwani mikufu na hereni tunavyovaa tunaviona?
Hahaha eti accessories... okZile ni accessories mkuu, kwani mikufu na hereni tunavyovaa tunaviona?