mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,480
- Thread starter
- #21
Katika sababu alizokupa hata moja haiingii akilini, wanajuwana hao.
[emoji28][emoji28]sawa bibi angalau umeona kama mimi
Katika sababu alizokupa hata moja haiingii akilini, wanajuwana hao.
Mnapenda kushikiwa akili
Yaah mie siwez kuoa kwao na wao hawaez kuoa kwetu.[emoji23][emoji23][emoji23]heeeeeeee na wewe washikaji zako watakubania