Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
kwani baba mkwe wako yuko wapi?
Alifariki siku nyingi nyuma
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake.
Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.
Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu.
Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.

Sijaona shida hapo kwa kweli wacha wajipe raha
kudadadadadadadaddaddadadadadadadadadadaadeki...
Huyo braza wako na bujibuji hawana tofauti
Case closed!!!!
Sasa bwana mdogo mbona unanidhalilisha. Aaah
sasa bwana mdogo mbona unanidhalilisha. Aaah
Dear - Hii comment yako inawezekana kuwa "post of the year"!
kesi Hipo,
kwa sababu huyo Kakake sasa atakuwa ni Babamkwe wake, na Watoto wa Kakake sasa watakuwa mashemeji zake, Na Mkewe anamwita huyo kaka ya Mmewe kuwa ni Babayake na watoto wa wa huyo shemeji yake watakuwa wadogo zake
Kaaaaaazi kwelikweli