Nzuri hii, mleta mada nakupa big up, tuhitaji Tanzania yenye watu km wewe ( critical thinkers) na sio washabiki tu wasiojua chochote, uliyoyaandika hapo ni ukweli mtupu, jamaa ka-perform poor kiukweli, hali ni mbaya sana, nakumbuka wimbo wa Naakaya mr politician