Kaka Ray Tunaomba M'ma (MAJI)

Huu uchokozi wa ngumi! Teh! Kwa hiyo hawa ni wadogo zake au?!
 
Hahahah,chinekeeeeeeeeee, akamshauri na MPOKI jaman ili abadilike.
 
Duh!! Mi simo, na wala sijasoma ulichoandika
 
Hii sayansi ya Ray atakuwa kaisomea juu ya Jua sio chini ya Jua
 
Mimi naanza program ya kunyonya SIMTANK nione......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…