b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,194
- 2,114
Kawataja masela wake..sema hicho kikosi kinaweza fungwa hata na leicester..Wachezaji wote hao hawependi ku defend zaidi ya maldini tu..Nesta mwenyewe ni ball playing defender anapenda show off.!
Safi... Inapendeza kuona watu wanajua mpira vema,, yani hata huyo DM wake kukaba ni mzito