Kaka Nape agombee Arumeru Mashariki

Kaka salam, umekua mahiri sana katika kuzungumzia chama,nadhani pia ni vizuri ukaamua kuwania ubunge ili kujijenga katika hoja za kitaifa kwenye muhimili wa Bunge.Njoo Meru upambane na Nasiri. Bila shaka utashinda kwa umahiri wako wa hoja na ushawshi.Tutapenda sana ukikutana na vijana wengine Bungeni katika kutoa mawazo ya kujenga Nchii hiii. Tangaza nia Kaka.

Aisee we mtu wa ajabu kweli! Yaani unampambanisha Kamanda Nassari na Nape! Acha utani aisee! Ungeniambia unataka kumpambanisha Nassari na Jk kidogo ningekuelewa! Nape hakuna kitu ni brain washed kelele za bure!
 
Kabla ya Kugombea Arumeru lazima Ajiuzulu Ukatibu Uenezi ndani ya Central Comittee ya CCM first... then akiwa hana cheo chochote ndani ya nchi then aende Arumeru... hana Gari, Nyumba, Mshahara ...

Wewe...atakuwa mweusi pepepe... na hivi hana fisadi wa kumsaidia utasikia baada ya kushindwa uchaguzi anaishi kwa Mama yake...

JAMANI MSIMUONDOLEE ULAJI WOTE

usijali jamaa hawezi lala njaa, majuzi tu tumemzawadia honorary masters pale mzumbe. Eti Master of business, tanzania kwa jokes mpaka raha
 
mnafikiri kutumia kichwa au kamasi. Acheni kuwaps watu sifa wasizostahili. Hata kama mnamchukia nape bado huwezi kusema analinganishwa na nasari. Who is nasari. Mnamkuza ngojen mtaona. Mnamchukia nape kwa ajili ya mimba.

huu ndio uwezo wako wa kufikiri au?
 
mnafikiri kutumia kichwa au kamasi. Acheni kuwaps watu sifa wasizostahili. Hata kama mnamchukia nape bado huwezi kusema analinganishwa na nasari. Who is nasari. Mnamkuza ngojen mtaona. Mnamchukia nape kwa ajili ya mimba.
Hebu acha wivu wa kike!
 
Kaka salam, umekua mahiri sana katika kuzungumzia chama,nadhani pia ni vizuri ukaamua kuwania ubunge ili kujijenga katika hoja za kitaifa kwenye muhimili wa Bunge.Njoo Meru upambane na Nasiri. Bila shaka utashinda kwa umahiri wako wa hoja na ushawshi.Tutapenda sana ukikutana na vijana wengine Bungeni katika kutoa mawazo ya kujenga Nchii hiii. Tangaza nia Kaka.

Kama ni uenyekiti wa serikali za mtaa atapata ila ubunge asahau

Similar Discussions

Back
Top Bottom