Hahaaaaa ukweli mtupuHahahaaa hahaaaaaa ....
Usipocheka Jf basi wewe ni robot ...
No wonder kwanini " ulikuwa unamshabikia jiwe na ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Afanye ivo kama inawezekana.
Hahaahaa!!!Ni kweli wanaweza kuwa na wajukuu. Lakini inawezekana pia kuwa wale chokoraa wa shelui ni watoto wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Halikuwa lengo langu siku hizi nimekuwa muoga balaa maana hivi vijidudu nilivyovizoa niko kwenye Shudu na sitaki kujichosha wake zangu wananitosha.Kwa Kuwa Tunaelekea Sikukuu Ya Mwaka Mpya Naona umeamua Kutoa Taarifa Ya Kwamba Una Mashine Kubwa Ili Iwafikie Wanawake Wa Jamii Forum Maana Najua Ndo Lilikuwa Lengo Lako Ili Utaftwe Na Wasiopenda Bamia
uuuuuuh uuuh hii chai imezidi tangawizi
hahhah atakuomba umsitiri ooooho!Huyu hata hajawahi nanlii
hearly sorry umereact kwa hasira ila nahisi jamaa alikuwa anatania as long as anajiita robot la matope na kwenye reply yako kuna neno robotDahh jamaa yangu " unawashwa au !!? Wapi nimekutaja !!? Halafu mbona hauwezi kunipangia cha kufanya aisee .. course natumia simu niliyonunua kwa pesa yangu na bundle pia ni langu " ... upo aunt !!?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahhah atakuomba umsitiri ooooho!
Usijali chief " nimeshamuelewa " ... nimeelewa baada ya kureply hiyo content yangu ... BTW sorry kwa kuwakwazahearly sorry umereact kwa hasira ila nahisi jamaa alikuwa anatania as long as anajiita robot la matope na kwenye reply yako kuna neno robot
SORRY KAMA NA ME PIA NTAKUWA NIMEKOSEA NO POVU
Sent using Jamii Forums mobile app
Sharing is Joy!! kizuri kula na mwenzioHadithi yako inatufundisha nini?