hahaha...kama una vigezo hivi unitafute.Kama unadada mkuu niunganishie usihofu na sitanii
Ndugu huonekani kabisa au umeingia jeshini kwa kimShishmidaa yepyeaaa
Hahahahaa tupo tunayaandaa yakuvuka sayari kabisaNdugu huonekani kabisa au umeingia jeshini kwa kim
Ushanipata mi kakaako namjua,Alinambiaga ana dadaake KAVURUGWA,kumbe ndo wewe![emoji12][emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hivi ulimwengu wa sasa kuna kutafutiana wachumba kumbe, ngoja nikaongee na kaka yangu anitafutie na mimi