Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 810
Wengi wenu mmezoe dada kuwalengeshea rafiki zao ambao ni wakali tena anakuita kabisa chemba anakuambia "kaka chukua mzigo huo umetulia mimi nakurekebishia kila kitu" na kweli unakwarua mzigo.
Sasa nauliza je kaka akimtafutia dada mume kuna makosa?
Kama ndio kwanini?/hapana kwanini?
Sasa nauliza je kaka akimtafutia dada mume kuna makosa?
Kama ndio kwanini?/hapana kwanini?
