Kaka kamuoa dada!

ona ulivyo mmbea ulianzaje kuuliza habari zake!!!!
 
Yani kwa kweli...baba koku kaamua kumpiga dada katerero!..ukabila hadi kwenye maloveeeee
 
Kwa taarifa nilizopewa na mmoja wa wafanyakazi wake ni kwamba.....

Hapo terminal wewe ulikwenda kuchukua umbeya au?
 
Mhh! hawa ndugu zangu wamebiaibisha sana. Katika hali ya kaiwada ni ngumu labda kama kuna nguvu ya ziada imeelekeza wafanye hivyo.
 
Ukome kabisa kama umekosa cha kuomba!:shocked:
woi, yaani ati ndio sikomi nasema hiviiiiiiiii YESU SHUKA DUNIA IISHEE!!!!!!! kama umechukia jibebe meeeeeeeeeeeeen!!!!!!!! habari ndio hiyooooooooo!!!!!!
 
ndio kulinda mali za nyumbani zisiende mbali kumefkia huku!!!
 
Mwee hi dunia jaman turudi kwa Mungu cjui lile dhoruba la nuhu likirud itakuaje,kha!.
 
Kwa mujibu wa sheria hata tanzania, mahusiano hayo ni kosa kisheria, nenda kawalipue Polisi tu,
Bora uwape dili Polisi wamsumbuesumbue kidogo kwa kumlia pesa yake manake najua
jinsi walivyokuwa warushwa hawatampeleka mahakamani kwa kosa hilo unless otherwise kuwe na mkono wa mtu!
 

Ni sawa tuh! Babu kaoa bibi,baba kaoa mama na yeye kaka kaoa dada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…