Kaka kamuoa dada!

Hahaha inamaana hili kabila la hawa jamaa ngono ndo imetawala kufikia mtu na dada alafu kwao inaonekana ni kawaida? Maana nilishazoea wahaya wanaendekeza ngono ila si ndugu kwa ndugu. Nikimwangalia dada angu alivyofanana na mama na mimi nilivyofanana na mama alafu eti........ Mh God forbid
 
Mimi sina dada sijui Watu wanajiskiaje kwa dada zao...yaani natamani nami ningekua nae walau mmoja nahisi kunavitu nimemisi. Hapa hata siwezi kuchangia coz sijui
 
Daaa kweli dunia tambala bovu,kama watu ndo tunafikia hatua hii dunia imekwisha
 
Daaa ni mbaya hiyo, bora hata binamu kidogo lakini your blood sister haijakaa fresh. Siwapendi watu wa aina hii.

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
wanadumisha mapenzi ya mungu, maana hapo mwanzo mungu aliumba adam na eva tu, baada ya hapo watoto wa adam na eva walioana kama kawa!
Na wewe ni muathirika wa hili janga nyemelezi???
 
msimsingizie shetani ni wao wenyewe wameruhusu upenyo wa ibilisi kufanya kazi ndani yao
kweli dunia imekwisha kabisa na naona zile zana za mwisho wa nchi zimekaribia QUOTE=Lyagwa;7566852]Inahitaji moyo wa aina yake kufanya hayo, duh sijui hao ndg walianzaanzaje jamani hadi kuvuana nguo, shetani at work[/QUOTE]
 

Ni laana na yanaumiza sana lakini siku hizi yapo hata mimi ninafahamu wengine pia'tuwaombee watoke kwenye hiyo hali.
 
Ee Mungu uturehemu..sipati picha hiyo siku ikifika.
 
Kugoma kwa mvua kunyesha imesababishwa na uharibifu wa mazingira unaoharibu ozone layer. Pia uzinzi umechangia sana maana utafikiri hata VVU hakuna!!! watu ni kulabuana tu hadi kaka na dada aibu sana!!!
 
si bure hapo lazima nguvu za giza zinahusika Hii dunia aise ni zaidi ya uijuavyo
 
Wahaya ndo walivyo hao, wanaona kawaida sanaaaaa
 

Inaelekea kule Bukoba ni kawaida kwani kuna wanafunzi walisoma Lake Sekondari kaka na dada aliakuwa wakilala kitanda kimoja misho wakawa wapenzi waliojawa wivu mzito sina taarifa leo watakuwa hali gani bila shaka watakuwa walioana pia.


kuna tabia zingine huwezi kuimagine kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…