wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 288
By the way how do you start.......! Sababu nikiwaangalia dada zangu, I almost see myself, How do u want want to sleep with ur sister Gosh...........!
wadau hii nimekutana nayo julius nyerere international airport TERMINAL ONE,ambapo kuna m-baba mmoja mtu wa makamo hivi ambayo anakijikampuni cha huduma za usafiri wa anga.kwa taarifa nilizopewa na mmoja wa wafanyakazi wake ni kwamba,mkasa ulikuwa hivi:m-baba huyu aliyekuwa ameoa kwa ndoa ya kanisani na kufanikiwa kupata watoto wawili,alimchukua mdogo wake wa kike kutoka bukoba ili aweze kumsaidia na kumuhudumia wifi yake(mke wa huyo m-baba)ambaye alikuwa amejifungua mtoto wao wa pili.lakini baada ya muda m-baba huyo akaanza kucheza mchezo mchafu na mdogo wake(ambaye ni tumbo moja na yeye).migogoro ilianza ndani ya ndoa hatimaye mke akapata habari kuwa wifi yake ndio mwizi wake.baada ya kuweka mtego na kuwafuma mmama wa watu hakutaka makuu,alifungasha kila kilicho chake na kusepa.nimeambiwa kuwa ni miaka sasa dada na kaka huyo wanaishi kama mume na mke.wazazi wao waliamua kuwatenga baada ya kupata habari hizo.na mpaka muda huu hawajawahi kupata mtoto.niliwashuhudia wanandugu hao wakiwa wanaingia kazini,naambiwa ni kama kumbikumbi,huwa wanafuatana kila sehemu wanayokwenda.
imenistua sana,hii laana bandugu
wanadumisha mapenzi ya mungu, maana hapo mwanzo mungu aliumba adam na eva tu, baada ya hapo watoto wa adam na eva walioana kama kawa!
wadau hii nimekutana nayo julius nyerere international airport TERMINAL ONE,ambapo kuna m-baba mmoja mtu wa makamo hivi ambayo anakijikampuni cha huduma za usafiri wa anga.kwa taarifa nilizopewa na mmoja wa wafanyakazi wake ni kwamba,mkasa ulikuwa hivi:m-baba huyu aliyekuwa ameoa kwa ndoa ya kanisani na kufanikiwa kupata watoto wawili,alimchukua mdogo wake wa kike kutoka bukoba ili aweze kumsaidia na kumuhudumia wifi yake(mke wa huyo m-baba)ambaye alikuwa amejifungua mtoto wao wa pili.lakini baada ya muda m-baba huyo akaanza kucheza mchezo mchafu na mdogo wake(ambaye ni tumbo moja na yeye).migogoro ilianza ndani ya ndoa hatimaye mke akapata habari kuwa wifi yake ndio mwizi wake.baada ya kuweka mtego na kuwafuma mmama wa watu hakutaka makuu,alifungasha kila kilicho chake na kusepa.nimeambiwa kuwa ni miaka sasa dada na kaka huyo wanaishi kama mume na mke.wazazi wao waliamua kuwatenga baada ya kupata habari hizo.na mpaka muda huu hawajawahi kupata mtoto.niliwashuhudia wanandugu hao wakiwa wanaingia kazini,naambiwa ni kama kumbikumbi,huwa wanafuatana kila sehemu wanayokwenda.
imenistua sana,hii laana bandugu
Hata huku kwetu wapo mpendwa wangu,wanabanduana bila wasiwasi ndugu wameshasamehe ila baba yao ilibidi akodi bunduki aina ya Gombole ili wakikanyaga kwake tu awageuze Westgate.wadau hii nimekutana nayo julius nyerere international airport TERMINAL ONE,ambapo kuna m-baba mmoja mtu wa makamo hivi ambayo anakijikampuni cha huduma za usafiri wa anga.kwa taarifa nilizopewa na mmoja wa wafanyakazi wake ni kwamba,mkasa ulikuwa hivi:m-baba huyu aliyekuwa ameoa kwa ndoa ya kanisani na kufanikiwa kupata watoto wawili,alimchukua mdogo wake wa kike kutoka bukoba ili aweze kumsaidia na kumuhudumia wifi yake(mke wa huyo m-baba)ambaye alikuwa amejifungua mtoto wao wa pili.lakini baada ya muda m-baba huyo akaanza kucheza mchezo mchafu na mdogo wake(ambaye ni tumbo moja na yeye).migogoro ilianza ndani ya ndoa hatimaye mke akapata habari kuwa wifi yake ndio mwizi wake.baada ya kuweka mtego na kuwafuma mmama wa watu hakutaka makuu,alifungasha kila kilicho chake na kusepa.nimeambiwa kuwa ni miaka sasa dada na kaka huyo wanaishi kama mume na mke.wazazi wao waliamua kuwatenga baada ya kupata habari hizo.na mpaka muda huu hawajawahi kupata mtoto.niliwashuhudia wanandugu hao wakiwa wanaingia kazini,naambiwa ni kama kumbikumbi,huwa wanafuatana kila sehemu wanayokwenda.
imenistua sana,hii laana bandugu