Kaka kaka... Unatishaaa!!!! Umevuta ngapi Hizoo?

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,303
Reaction score
17,830




Mambo ya Billionaire wa Arusha hayo.. Arushaone.

Ndiyo maana mabinti wakali wakali huwa wana sticky kwa jamaa yangu.
Mamndenyi, black woman na Madame B haya mambo mlimwacha nao?

kwa sasa
Lady doctor anayamaintain kwa ukaribu zaidi. (tunza mali shemu)..

hapa kiwatengu nikishangaa baada yakujikuta narudishiwa nauli..



Mnisamehe kwa kuiweka picha yangu halisi...
 
sweety wangu shansarie utaniwia radhi kwa mimi kuweka picha yangu halisi kwenye huu uzi.
nilijikuta nafurahi baada ya kurudishiwa nauli..

sasa nikashindwa ku edit.
sidhani kama nitapata usumbufu
 
Last edited by a moderator:

huyo hapo chini ndiyo wewe?
teh teh teh Excel hebu tupia na wewe kapicha kako kama kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
uran bana na wewe fanya mpako tuone kauso chako,valentina am sory for ths

unataka kuniona? we afu si kuna kipindi ulikuwa unatoka na kiwa? mke wake akakubutua?
 
Kama utakutana na Arushaone huko mjengoni
msomee maneno haya hapa chini, ila usiseme ni nani kayatuma
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]1 Wafalme[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]11[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]3[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]1 Wafalme[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]11[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]4[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Maana ikawa, Sulemani alipokuwa mzee, wake zake wakamgeuza moyo wake, afuate miungu mingine, wala moyo wake haukuwa mkamilifu kwa Bwana, Mungu wake, kama moyo wa Daudi baba yake. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]




ha ha ha...hizo kitu hapo juu si mchezo ati
 
Last edited by a moderator:

gospel hiyo. wake 700!? si wengine wanasahaulika kabisa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…