Haulicious
Member
- Sep 8, 2014
- 7
- 2
aiseee nyie wanawake njoon mtoe maelezo
jembe umetishaaaa
aiseee nyie wanawake njoon mtoe maelezo
Hivi kwanini wanawake mnatuita bahiri?
Wakati wewe unafanya kazi, nazaidi unaweza ukawa unanizidi kipato na mbaya zaidi unasema unanipenda sasa mapenzi gani haya ya kuviziana?
Nawaombeni mnijulishe tatizo linatokea wapi?
ndo utajua kwa nini meno yanatafuna lakini ulimi ndo unasikia utamu
lazima utoe hela.
Ni mwiko kugonga free.
Ni kama kuchovya ugali kwenye maziwa ya mgando nyumbani kwa mfugaji.
hahahahaaaaa .....loading error.......jembe umetishaaaa
This is not good spirit.
Ndio maana wanawake ni rahisi kuwa abusive kwa ajili ya hii dependence.