Mwanamuzi wa ujanja ujanja naona sasa kamnunua Neyo. Amenunua mashabiki ahaha in Dimpoz voice.Inakuja mijitu na roho mbaya
Eti ananunua sijui nini!!!?
Juhudi zamtu mnaziona
Kijana anajitutumua zaidi ndani na nje .
Mungu humpa anaye jituma
Taarifa ninazo, ila siwezi kupongeza tuzo ambazo msanii anajinominate. Tuzo unatakiwa uwe nominated na siyo wewe kama msanii unajinominate. Tuzo unakwenda kujaza fomu ya maombi utadhani unagombea udiwani.Mbona hujampongeza yule braza yako mwingine kwanza maana juzi karamba tupo tatu,
Au unapendelea?
Ukiamua kupongeza pongeza kaka zako wote kwa juhudi zao,
Au ndo kusema Huna taarifa na hizo tuzo?
sasa kama mzee wa mtandao Millard hakuwa na taarifa na hizo tuzo huyu jamaa atazitoa wapiAu ndo kusema Huna taarifa na hizo tuzo?
Google mbona zipo mkuusasa kama mzee wa mtandao Millard hakuwa na taarifa na hizo tuzo huyu jamaa atazitoa wapi
"Hard work forever pays wandugu"
Nimeona diamond akiwa studio anatengeneza ile kazi ya Salome..yaani director yeye, mtunzi yeye, mpinga ngoma yeye, producer yeye n.k