Kaka angu anataka kumwita mtoto wake 2PAC

Kaka angu anataka kumwita mtoto wake 2PAC

Hahahaha.....

Dah!!..ndo mtoto wao wa kwanza nini?

Yaani hata mtoto hajazaliwa salama tayari kuna ubishano wa kuita jina tehtehteh

Washauri wamuite Magufuli
 
Tupak amaru alikuwa mfalme wa wahindi wekundu(red indians) huko amerika ambaye alipinga utawala na uvamizi wa kikoloni uliofanywa na wahispania
Wewe ndio unaijua historia vizuri. Yule Tupac tunayemjua wengi rapper nae alirithi jina la huyo mhindi mwekundu nadhani toka Bolivia. Mwenye jina alikuwa hodari sana kupinga utawala wa kikoloni wa kiispaniola.

Mama yake Tupac mwanamziki na baba yake mlezi (wa kambo) walikuwa wanachama hai wa kundi la BLACK PANTHER la watu weusi wapinga ubaguzi marekani.

Blak panther walikuwa wanatumia njia ya mapigano ya kibabe kutumia silaha na milipuko tofauti na akina Martin Luther King Jr. ambao walihamasisha kupinga ubaguzi kwa njia ya amani.

Mama 2pac na mumewe waliwekwa kwenye list of the outlaws. Yaani watu hatari wasio takiwa ktk jamii ambao walitafutwa washitakiwe na kuhukumiwa jela kwa makosa yao.

Mama yake Tupac Amaru shukuru aliyeitwa Afeni Amaru Shakuru alimpa jina la Tupac mwanawe alisema kwasababu anataka mwanawe awe na jina la Mwanamapinduzi (Yaani Tupac original wa Amarika ya kusini).
 
Kama yy
Kaka yangu ni mpenzi sana wa muziki wa hip hop. Mke wake ni mjamzito, Ijumaa walienda kufanya ultra sound na wameambiwa mtoto anayekuja ni wa kiume.

Sasa kumekuwa na ubishani wa hali ya juu mpaka wamenuniana mpaka leo, kisa ni kwamba kaka anataka mwanae aitwe 2pac wakati mke wake anasema atoe jina lolote lile lakini sio hilo. Anadai kuwa hilo ni jina ni la kihuni sana.

Kaka ameshaanza kujiita ''Baba 2Pac'', kwenye social media amebadili majina anajiita ''Baba 2Pac'' ndio hapo mke wake anazidi kununa hatari.

Imepostiwa na,
Mdogo wa Baba 2pac
kama yy anataka kuzaa 2pac basi jirani yake azae Torius BIJ waanze beef .labda tutakua na 2pac wa bongo
 
Hahahaha.....

Dah!!..ndo mtoto wao wa kwanza nini?

Yaani hata mtoto hajazaliwa salama tayari kuna ubishano wa kuita jina tehtehteh

Washauri wamuite Magufuli
Yes, ni mtoto kwanza mkuu
 
2pac siku amepigwa risasi polisi aliwahi kumsaidia na sentensi ya mwisho aliyoitoa huyo Tupac kwa huyo polisi ni "f☆ck you"

Hapa tunaongelea jina la msanii aliyekuwa na kipaji mno lakini pia kiongozi wa genge la kihuni na uhuni wake ukaendelea mpaka saa anakufa. Azazi tuwe makini na utoaji wa majina kwani husababisha kurithishana tabia mbovu.
Genge gani alilokuwa analiongoza 2Pac.2pac alikuwa na kipaji adimu lakini alikuwa fake Gangster.
 
Binafsi sioni mbaya kumuita hilo jina ukizingatia 2pac Shakur ni mtu aliyefanya makubwa katika dunia ya mziki licha ya usumbufu wake wa hapa na pale.

Ila Ningeshauri wampe nickname ya 2pac "Makavel" ni jina lenye historia ya harakati.
 
Kaka yangu ni mpenzi sana wa muziki wa hip hop. Mke wake ni mjamzito, Ijumaa walienda kufanya ultra sound na wameambiwa mtoto anayekuja ni wa kiume.

Sasa kumekuwa na ubishani wa hali ya juu mpaka wamenuniana mpaka leo, kisa ni kwamba kaka anataka mwanae aitwe 2pac wakati mke wake anasema atoe jina lolote lile lakini sio hilo. Anadai kuwa hilo ni jina ni la kihuni sana.

Kaka ameshaanza kujiita ''Baba 2Pac'', kwenye social media amebadili majina anajiita ''Baba 2Pac'' ndio hapo mke wake anazidi kununa hatari.

Imepostiwa na,
Mdogo wa Baba 2pac
Aangalie kumwita mtoto marehemu sio vizuri anaweza kuzaliwa amekufa.
 
Aangalie kumwita mtoto marehemu sio vizuri anaweza kuzaliwa amekufa.
Hii sio kweli mkuu.
Kama wewe una majina ya kikristo au kiislam, au kikabila basi lazima hilo jina kuna mtu kabla ya kuzaliwa kwako alikuwa nalo na alishakufa.
Kifupi karibu wote tulipewa majina ya marehemu.
 
Haya ndio matokeo ya kuzaa na wavulana...Atakuwa hajakua vizuri kiakili
 
Back
Top Bottom