Kajifungua mnyama

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
568
Wazee nimetoka Skiliza habar ya mwanamke aliyejifungua mnyama

Swal langu ..je uo ni uchawi!?


Kama ni uchaw utafanya nn ili usikupate?

KAJIFUNGUA mnyama aitwae Kalunguyeye
Your browser is not able to display this video.
 
Wazee nimetoka Skiliza habar ya mwanamke aliyejifungua mnyama

Swal langu ..je uo ni uchawi!?


Kama ni uchaw utafanya nn ili usikupate?

KAJIFUNGUA mnyama aitwae Kalunguyeye

Dah pole sana jamaniii

Uchawi upo na wachawi ni wapumbavu sana yaani. Mtu aliyefanya hili sidhani kama anatakiwa kubaki kwenye jamii. Basi tuu uchawi hauna ushahidi

Huyu dada angekua hamjui Mungu angekufa

Tumtafute Mungu na nguvu zake jamani
 
Wazee nimetoka Skiliza habar ya mwanamke aliyejifungua mnyama

Swal langu ..je uo ni uchawi!?


Kama ni uchaw utafanya nn ili usikupate?

KAJIFUNGUA mnyama aitwae Kalunguyeye
Duuuh
 
Dah pole sana jamaniii

Uchawi upo na wachawi ni wapumbavu sana yaani. Mtu aliyefanya hili sidhani kama anatakiwa kubaki kwenye jamii. Basi tuu uchawi hauna ushahidi

Huyu dada angekua hamjui Mungu angekufa
Wanatutesa sana hawa wanga
 
Dah pole sana jamaniii

Uchawi upo na wachawi ni wapumbavu sana yaani. Mtu aliyefanya hili sidhani kama anatakiwa kubaki kwenye jamii. Basi tuu uchawi hauna ushahidi

Huyu dada angekua hamjui Mungu angekufa

Tumtafute Mungu na nguvu zake jamani
Daktari alithibitisha ile taarifa haikuwa na ukweli wowote ule. Mhusika alipimwa vipimo vyote muhimu na kuonekana hakukuwa na ujauzito.

Labda angetuambia huyo kalunguyeyevwake alimtoa wapi na mwisho wa siku kutuletea taharuki isiyo na kichwa wala miguu.

By the way, uchawi mwingine ni wa kufikirika tu! Kama huu wa huyu mwanamke.
 
Ni vizuri kuelewa kuna watu wanapitia magumu maishani. Muhusika anashuhudia yaliyompata wewe unakataa! Hii attitude ya ajabu sana. Unachokataa ni nini sasa hapo?
Daktari na mambo ya kiimani wapi na wapi?

Naamini hapo ulipo unajua kuwa una roho. Sasa jiulize ni wapi katika elimu ya sayansi ya dunia (ikiwemo udaktari) umewahi ona wanaelezea roho ni nini na inafanyaje kazi?

Watakueleza kuhusu ubongo, moyo, figo na viungo vingine lakini roho hawaelezi na kila mtu anajua kuna roho.

Kukimbilia kukataa tu magumu wanayopitia wengine inasaidia nini? Huyo mama aigize hayo na amulikwe na camera zote ili afaidike na nini.
 
Wanatutesa sana hawa wanga

Sisi tuna uwezo wa kuwatesa na kuwamaliza kabisa kama tukiamua na kusimama kama anayotaka Mungu.

Luka 10: 19
Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na kushinda nguvu zote za yule adui; wala hakuna kitu cho chote kitakachoweza kuwadhuru.

Yohana 19: 12-14
Hakika nawaambia, yeyote anayeniamini atafanya mambo kama yale niliyoyafanya. Naye atafanya mambo makubwa zaidi ya yale niliyofanya, kwa sababu mimi naenda kwa Baba. Na kama mtaomba jambo lo lote kwa jina langu, nitawafanyia. Kisha utukufu wa Baba utadhihirishwa kupitia kwa Mwana wake. Ikiwa mtaniomba chochote kwa jina langu, mimi nitakifanya.

Hesabu 23: 23
Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!

 
Mimba inachukua mwaka na nusu, mwisho kinatolewa chura tumboni.
 

Yote yanawezeka ila Daktari hajawahi fanikiwa kuthibitisha uchawi, yeye lazima aongee alichokipima na kuona.
Mungu atufungua macho na masikio ya ndani tumjue yeye njia zake na haki yake
 
Nimekataa, au nimechagua tu kuegemea upande wa maelezo ya daktari? Na kama wewe umechagua kumuamini huyo mama, tatizo liko wapi?

Sasa kama mhusika amepimwa vipimo vyote na kuonekana hana ujauzito, wala dalili za kujifungua! Ni makosa kuja kumfafanulia rafiki yangu mama D?

By the way, kila mtu ana imani yake. Binafsi sijawahi kuamini uwepo wa uchawi. Maana sijawahi kuushuhudia pasi na shaka.
 

😅🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…