Wazee nimetoka Skiliza habar ya mwanamke aliyejifungua mnyama
Swal langu ..je uo ni uchawi!?
Kama ni uchaw utafanya nn ili usikupate?
KAJIFUNGUA mnyama aitwae Kalunguyeye
Wazee nimetoka Skiliza habar ya mwanamke aliyejifungua mnyama
Swal langu ..je uo ni uchawi!?
Kama ni uchaw utafanya nn ili usikupate?
KAJIFUNGUA mnyama aitwae Kalunguyeye
Wanatutesa sana hawa wangaDah pole sana jamaniii
Uchawi upo na wachawi ni wapumbavu sana yaani. Mtu aliyefanya hili sidhani kama anatakiwa kubaki kwenye jamii. Basi tuu uchawi hauna ushahidi
Huyu dada angekua hamjui Mungu angekufa
Daktari alithibitisha ile taarifa haikuwa na ukweli wowote ule. Mhusika alipimwa vipimo vyote muhimu na kuonekana hakukuwa na ujauzito.Dah pole sana jamaniii
Uchawi upo na wachawi ni wapumbavu sana yaani. Mtu aliyefanya hili sidhani kama anatakiwa kubaki kwenye jamii. Basi tuu uchawi hauna ushahidi
Huyu dada angekua hamjui Mungu angekufa
Tumtafute Mungu na nguvu zake jamani
Ni vizuri kuelewa kuna watu wanapitia magumu maishani. Muhusika anashuhudia yaliyompata wewe unakataa! Hii attitude ya ajabu sana. Unachokataa ni nini sasa hapo?Daktari alithibitisha ile taarifa haikuwa na ukweli wowote ule. Mhusika alipimwa vipimo vyote muhimu na kuonekana hakukuwa na ujauzito.
Labda angetuambia huyo kalunguyeyevwake alimtoa wapi na mwisho wa siku kutuletea taharuki isiyo na kichwa wala miguu.
By the way, uchawi mwingine ni wa kufikirika tu! Kama huu wa huyu mwanamke.
Wanatutesa sana hawa wanga
Daktari alithibitisha ile taarifa haikuwa na ukweli wowote ule. Mhusika alipimwa vipimo vyote muhimu na kuonekana hakukuwa na ujauzito.
Labda angetuambia huyo kalunguyeyevwake alimtoa wapi na mwisho wa siku kutuletea taharuki isiyo na kichwa wala miguu.
By the way, uchawi mwingine ni wa kufikirika tu! Kama huu wa huyu mwanamke.
Nimekataa, au nimechagua tu kuegemea upande wa maelezo ya daktari? Na kama wewe umechagua kumuamini huyo mama, tatizo liko wapi?Ni vizuri kuelewa kuna watu wanapitia magumu maishani. Muhusika anashuhudia yaliyompata wewe unakataa! Hii attitude ya ajabu sana. Unachokataa ni nini sasa hapo?
Daktari na mambo ya kiimani wapi na wapi?
Naamini hapo ulipo unajua kuwa una roho. Sasa jiulize ni wapi katika elimu ya sayansi ya dunia (ikiwemo udaktari) umewahi ona wanaelezea roho ni nini na inafanyaje kazi?
Watakueleza kuhusu ubongo, moyo, figo na viungo vingine lakini roho hawaelezi na kila mtu anajua kuna roho.
Kukimbilia kukataa tu magumu wanayopitia wengine inasaidia nini? Huyo mama aigize hayo na amulikwe na camera zote ili afaidike na nini.
Nimekataa, au nimechagua tu kuegemea upande wa maelezo ya daktari? Na kama wewe umechagua kumuamini huyo mama, tatizo liko wapi?
Sasa kama mhusika amepimwa vipimo vyote na kuonekana hana ujauzito, wala dalili za kujifungua! Ni makosa kuja kumfafanulia rafiki yangu mama D?
By the way, kila mtu ana imani yake. Binafsi sijawahi kuamini uwepo wa uchawi. Maana sijawahi kuushuhudia pasi na shaka.