DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,416
Wee je umefanikiwa?Wote wamefanikiwaa jamanii,![]()

Umeongee point ila SAS tuweke subira Mario ni msaani mkubwa tishio ajayeView attachment 2681797
Kajala alipoanza mahusiano na Pfunk Majani, Pfunk aliyumba sana akapigwa bao na kina masterJ, Mikamwamba na wengine wengi, wakongwe wenzangu mnawakumbuka.
Kajala akafunga ndoa, mume akafungwa magereza, yeye aliponea baada ya wema kumlipia fedha alizopewa na mpenzi wake CK.
Kwa ulaku wake, Kajala akamwibia Wema yule bwana, kilichompata bwana yule baada ya kudate Kajala alifukuzwa kazi serikalini na kupandishwa mahakaman kwa ufisadi na uhujumu, alifungwa na kufilisika kabisa. Sasa hivi anachoma mishkaki.
Harmo alipotoka WCB alipata deals nyingi na endorsements, lakini alipolianzisha na Kajala makampuni hayakuongeza mikataba, wasanii hadi machawa wa kondegang waliachana nae. Hilo ni gundu.
Rayvan alipodate Paula wa Kajala alipotea kwenye Raman had akamrudia mkewe, hadi Sasa hajakaa sawa bado kibiashara.
Nikimtazama Marioo tangu aanzane na Paula wa Kajala, umaarufu unapungua.
Je, hili sio gundu lililopindukia?
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Embu nipe orodha yao mkuu kipindi Ana danga sikuwa na Simu mkuuKajala anagundu sana
Mcheki wema kila aliepita nae KATOBOA![]()
1. Steve kànumbaEmbu nipe orodha yao mkuu kipindi Ana danga sikuwa na Simu mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Watu wa dar bhana 😀1. Steve kànumba
2. TID
3. Diamond planumz
4. Omy dimpoz
5. Munana luis (mnamibia)
6. Idris sultan
7. Calisa
8. Chaz baba
9. Whozhu
10. Clement
11. Mwarabu wa Dubai (simkumbuki jina)
12. Kusah
13. Ay
Asilimia Kubwa alidate nao wakiwa hawana kitu, ila mpk wanaachana walishakua na kitu
mf: platnumz,tid, dimpoz,calisa,kusah
Hata aliowakuta Wana kitu, mpk wanaachana hamna aliefilisika
mf: mwarabu,Idris,Clement,whozhu,Chaz baba
Ilifikia kipind Watu wakawa wanagombea TU kumuonja wema Ili mambo yao yawanyookee![]()
Usiniambie kusah kamla sema?1. Steve kànumba

Umesahau kumbe, halafu pia wanasiasa mpaka yule mtoto pendwa wa Ile awamu walipiga, liwema Lina ngeks balaaa (ngekewa) wanasiasa wamepiga balaa na Kila alopita nae alifanikiwaaa... Kuna yule dogo wa majembe auction alipita na wema wakawa matajiriii1. Steve kànumba
2. TID
3. Diamond planumz
4. Omy dimpoz
5. Munana luis (mnamibia)
6. Idris sultan
7. Calisa
8. Chaz baba
9. Whozhu
10. Clement
11. Mwarabu wa Dubai (simkumbuki jina)
12. Kusah
13. Ay
Asilimia Kubwa alidate nao wakiwa hawana kitu, ila mpk wanaachana walishakua na kitu
mf: platnumz,tid, dimpoz,calisa,kusah
Hata aliowakuta Wana kitu, mpk wanaachana hamna aliefilisika
mf: mwarabu,Idris,Clement,whozhu,Chaz baba
Ilifikia kipind Watu wakawa wanagombea TU kumuonja wema Ili mambo yao yawanyookee![]()
JumbeUmesahau kumbe, halafu pia wanasiasa mpaka yule mtoto pendwa wa Ile awamu walipiga, liwema Lina ngeks balaaa (ngekewa) wanasiasa wamepiga balaa na Kila alopita nae alifanikiwaaa... Kuna yule dogo wa majembe auction alipita na wema wakawa matajiriii
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Hapanaa bhanaaaUnadhan hiyo trend ya kajala imetokea bahat mbaya? Uko aliko Kama anapitia huu Uzi lazima yeye mwnyw nafs inasuta![]()
Inaumiza Sana ke ujijue kila anaedate nawe uwa anapata mikosi, na ukiangalia Ni KweliHapanaa bhanaaa

Kama ujafanikiwa Basi una nyota ya kutajirisha wengineMie hapanaa![]()

Sasa baba J ukitoa Domokayaa hao wengine wote sidhan km wametoboaa, labda useme kawa boost umaarufu.1. Steve kànumba
2. TID
3. Diamond planumz
4. Omy dimpoz
5. Munana luis (mnamibia)
6. Idris sultan
7. Calisa
8. Chaz baba
9. Whozhu
10. Clement
11. Mwarabu wa Dubai (simkumbuki jina)
12. Kusah
13. Ay
Asilimia Kubwa alidate nao wakiwa hawana kitu, ila mpk wanaachana walishakua na kitu
mf: platnumz,tid, dimpoz,calisa,kusah
Hata aliowakuta Wana kitu, mpk wanaachana hamna aliefilisika
mf: mwarabu,Idris,Clement,whozhu,Chaz baba
Ilifikia kipind Watu wakawa wanagombea TU kumuonja wema Ili mambo yao yawanyookee![]()
Binafs hata kama wema kaisha kawa mbaya, ila akinitengea leo nami napiga chap siwazi maana nyota anayoUmesahau kumbe, halafu pia wanasiasa mpaka yule mtoto pendwa wa Ile awamu walipiga, liwema Lina ngeks balaaa (ngekewa) wanasiasa wamepiga balaa na Kila alopita nae alifanikiwaaa... Kuna yule dogo wa majembe auction alipita na wema wakawa matajiriii
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app

Kumbeeee?? Bas sawaa.Kama ujafanikiwa Basi una nyota ya kutajirisha wengine![]()
Kutoboa hakuna formula,Sasa baba J ukitoa Domokayaa hao wengine wote sidhan km wametoboaa, labda useme kawa boost umaarufu.
Ommy Dimpoz katoboa kupitia uchumi wake ulio nyuma kati kati ya makalio.

By that time wakiwa nae walitoboa,Sasa baba J ukitoa Domokayaa hao wengine wote sidhan km wametoboaa, labda useme kawa boost umaarufu.
Ommy Dimpoz katoboa kupitia uchumi wake ulio nyuma kati kati ya makalio.
Makahaba mara zote huwa na gundu,View attachment 2681797