Ebu acheni wapenzi wawili wafurahie mapenzi yao. watu wazima haoHii kesi walishakaa kikao nyumbani wakaimaliza, hizi picha zitamsaidia Rayvann kama kesi bado inaendelea polisi.
Familia yenu kijijini inakushinda,umeshupalia ya kajala...wabongo hopeless kabisa[emoji2][emoji2]Huyu Mama si ndiye aliyekua anamshutumu hamisa kumpeleka mwanae kwa rayvanny , kajala huyu huyu alimpeleka rayvanny polisi kisa anatembea na mwanae ambaye ni mwanafunzi, leo hii anamuachia tena yule yule aliyemdhalilisha mwanae mitandao ndo adate na mwanae na she doesn’t care at all,’Mh nilikua nataka kumchamba ila roho inakataa Coz huyu Mama akili zake sio nzuri kabisa, anakompeleka mwanae sipo kabisa, mtoto akimshindwa polisi au ukimwi vitamsaidia kulea mtoto wake, mi namuonea huruma tu Coz ndo mtoto wake wa pekee Jaman , mdomo koma warumi mie ptuu , yetu macho tu wambea tutayaona.
View attachment 1793253
Mpenzi mwenye miaka 18 hilo ndo la kuzingatia sio libaba lililotelekeza familia yakeKama paula ana miaka18 sioni ubaya akiwa na mpenzi vibaya ni kutandaza mapicha mtandaoni
Anaenda RAYVANNY HIGH SCHOOL, hapo yupo pre form five. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiv hiyo form five haendi tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binti ambaye ni zao la mama bongo muvi baba bongo fleva hapo unatarajia binti awe na tabia za aina gani?
Bongo muvi na bongo fleva wakizaa mtoto anakuwa na tabia gani kwani?!
Mtoto wa nyoka ni nyoka!
Kajala mwenyewe anasemaje.!??