wewe utakuwa mrs sembe mwingine maana mpo wengii.................povu limekutoka!
wivu wivu hee nan hana maisha yake hapa!
ukweli ndio huo what goes around comes back....! mjipange.
Ata kama tunakuwa na chuki wakuu tujitahid sana kuwaonyesha heshima mwenzetu plz...Kutaja mambo ya ndogo sio poa ata kama atakuwa aliitoa kwa maamuzi yake au kushurutishwaaa.
Hunijui wala huwezi kunijua. Ukweli ulishasemwa....Shamimu ana shida gani na mtu?au ni chuki zenu tu? mumewe ni muuzaji basi wekeni ushahidi. Nawe wahi ukaki...to....mbeshe kwa baba/mama yako