Heheheeaisee Erickb52 huyu Kaizer kwangu ni zaid ya unavyofikiri, na mpelekee salam zangu huko anapoziba pancha kuwa swtlo wake gfsonwin anampenda sana na leo kwa kazi aliyomfanyia Asprin basi kamuandalia bonge la dinner(candle night) pale serena hotel. card za mialiko nimeshatuma kwa waalikwa wote kila mtu na patna wake mtoto wangu Ronn M anisamahe sana kwa siku ya leo na wadogo zangu wa moyoni Smile Eiyer Excellent.
Bishanga sijui weye utakuja na nani, Kongosho naye sijui ataopoa wapi.
aisee Erickb52 huyu Kaizer kwangu ni zaid ya unavyofikiri, na mpelekee salam zangu huko anapoziba pancha kuwa swtlo wake gfsonwin anampenda sana na leo kwa kazi aliyomfanyia Asprin basi kamuandalia bonge la dinner(candle night) pale serena hotel. card za mialiko nimeshatuma kwa waalikwa wote kila mtu na patna wake mtoto wangu Ronn M anisamahe sana kwa siku ya leo na wadogo zangu wa moyoni Smile Eiyer Excellent.
Bishanga sijui weye utakuja na nani, Kongosho naye sijui ataopoa wapi.
uwiiiii gfsonwin umejuaje kuwa Kaizer mkweo ni wa kushukuriwa kwa kweli, my dear umeona mbali! nimepungua uzito kwa ajili ya uhamisho wake wa jana, wanted to run mad kabisaaaaa! japo ni mume wa BADILI TABIA lakini tutabanana hapo hapo, anayeona kabanwa apishe wengine tuendelee! mkwe Kaizer kudos to u! Kongosho aliandaa party jana sijui inafanyikia wp?? nitahudhuriaje sasa?
Heheheheeeebasi karibuni na msisahau ku press order ya cocktail
mi nawe ni wasiri wa moyoni! hakuna kitakachotutia dosari, wakwao tutashare kwa sana tu, ila wa kwetu kila mmoja na hogo lake la jang'ombe! nimemmiss babu yangu Asprin isijekuwa yupo likizo tena kha! safari hii maandamano yataanzia viwanja vya leaders via 'safe house' ambapo mod husika atakula kichapo na kung'olewa macho na ulimi kwa plaiz, then haooooooo mpaka mabwepande mwe! ila magamba kiboko kha!miye ya kwangu tayari kila kitu mamito. mwambie tu mumeo youg_master ajiandae na usiache kupress order ya cocktail. Hii ya Kongosho miye sijaalikwa japo ya kwangu kwaajili ya kuburudika na barafu ya moyo nimemwalika. leo mwache BADILI TABIA aje na Asprin wake.
Umeona eti wanahofu na mimi na wewe? tuendelee kuwamg'adua tu don't say anything kwa yeyote kuhusiana na mimi na wewe
gfsonwin hahahaha jamani ila mi dj tu,aah ila umetuonea.......nakupenda sana tena zaidi my sis