Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,716
- 45,117
- Thread starter
- #41
hawa tunakanyaga nje ndani
Imeisha hiyooo
hawa tunakanyaga nje ndani
Huyo dogo ndiyo hajui fairFairplay mkuu
Muda mchache uliopita, wapinzani wa Simba katika robo fainali ya Caf Champions League, Kaizer Chiefs wamefungwa goli 2-1 na Tshakhuma Fc inayofundishwa Dyran Kerr aliyewahi kuifundisha Simba miaka ya nyuma. Ikumbukwe Tshakhuma Fc inashika nafasi ya 14 katika ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL)
Kaizer Chiefs maarufu kama Amakhosi, wamepoteza mchezo huo huku mchezaji wao akilambwa kadi nyekundu na kuwaacha wakishika nafasi ya 9 katika msimamo wa ligi kuu ya Afrika Kusini.
Nafikiri Simba Sc watakuwa wamefatilia mchezo huu kwa uzuri kabisa, na nimegundua udhaifu mkubwa katika idara ya ulinzi ya Kaizer Chiefs.
View attachment 1773504
View attachment 1773505
Mimi yanga... namuombea mtani njaa.. ila sioni kaizer chiefs akimtoa simba hii kwa mechi mbili home and away... sioni beki wa kumzuia miqquissone asisumbue , huku chama huku morrisson na hapo hapo sioni mshambuliaji wa kumzidi akili josh onyangoo... hao watu niliowataja ni wakubwa sana kwa kaizer chiefs..
Simba siipendi ila ina watu wawili ambao ni level ya juu sana kucheza ligi ya Tanzania . Watu hao ni luis miqquissone na josh onyango... hawa wakicheza at their best no one can stop them
Sio mbaya endelea kujipa moyo mshabiki
Ila naamini watakuwa wali tunza wachezaji kwaajili ya kupambana na Simba
Mfano Simba. Ligi ya ndani ni timu ya kawaida sana, inatoa sare na Yanga!KUNA TIMU KWENYE LIGI NI DHOOFU ILHALI ILA KWENYE CHAMPS LEAGUE NI HATARI
LIGI YA NDANI SIO KIPIMO CHA UBOVU WA TIMU CHAMPS LEAGUE
Asante.
Hapo "Hawa wakicheza at their best no one can stop them"
Ndicho kitakacho tokea tarehe 8
Kipindi wenzio wanachagua timu ya kushabikia.. wewe ulikuwa wapi hadi uchaguliweSio mbaya endelea kujipa moyo mshabiki
Cezar ndio kaizariHivi Kaizer maana yake kwa kiswahili ni Kaisari?
Kwahiyo simba hawatoki mkuu?..KUNA TIMU KWENYE LIGI NI DHOOFU ILHALI ILA KWENYE CHAMPS LEAGUE NI HATARI
LIGI YA NDANI SIO KIPIMO CHA UBOVU WA TIMU CHAMPS LEAGUE
Kitu kibovu ni kibovu tu na kixuri ni kizuri tuu. ACHA WOGAKUNA TIMU KWENYE LIGI NI DHOOFU ILHALI ILA KWENYE CHAMPS LEAGUE NI HATARI
LIGI YA NDANI SIO KIPIMO CHA UBOVU WA TIMU CHAMPS LEAGUE
Utopolo banaah!!!😛😛KUNA TIMU KWENYE LIGI NI DHOOFU ILHALI ILA KWENYE CHAMPS LEAGUE NI HATARI
LIGI YA NDANI SIO KIPIMO CHA UBOVU WA TIMU CHAMPS LEAGUE
Kwan Coastal Union alimfanyaje yanga. Tena akiwa kinara wa ligi na unbeaten yake. Mbovu mbovu tuuuHalafu haohao Chiefs walimchapa kinara Mamelodi Jumapili ya 25 April 2021.