Si vema mtu kujitafutia matatizo bila sababu yeyote. Kuitwa kwa Mbowe makao makuu ya polisi ambao hamjaitwa mnaenda kufanya nini? Ama tuseme kauli ya Mbowe ilikuwa kauli ya Chadema na mawakili wake?
Waandamanaji wa chadema huwa wanabeba visu, nondo na bisibisi mifukoni na kwenye soksi, pia hubeba mapanga kwenye makoti makubwa ili kwenda kupambana na polisi. Hivyo siyo vita ni nini? Ni vema wanachadema kufuata utaratibu, hakuna haja ya kutumia nguvu kujitafutia matatizo.
Mwacheni Mbowe aende kama alivyoitwa, kama atasema alitumwa na chadema na mawakili wake, kila mmoja ataitwa kwa wakati wake.
Mbowe ameitwa kutokana na ujinga na uchochezi anaoufanya. Nyie chadema vipi? Mbona nyote ka mataahira vileHuwezi kulala nyumbani kwako haki ikakufuata huko. Haki lazima uitafute kwa gharama yeyote ile, mradi ujue ni haki ya kweli au gheresha? Kuitwa Mbowe ni sawa na wapinzani wote wameitwa!
Kaongea mambo ya msingi sana. Wewe ndo umelewaTatizo la kupenda bia za ofa unalewa mpaka asubuhi.
Huwezi kulala nyumbani kwako haki ikakufuata huko. Haki lazima uitafute kwa gharama yeyote ile, mradi ujue ni haki ya kweli au gheresha? Kuitwa Mbowe ni sawa na wapinzani wote wameitwa!
Mkuu, usilete utani kwenye mambo ya msingiumejitahidi kuwahi kupost buku 7 asubuhi asubuhi jitahidi zifikie 5
Tatizo akii za misukule zitawashawishi kucheza vibaya kwenye mdomo wa mambakwani kwenda polisi ni kujitafutia matatizo hujui polisi ndipo mahali pausalama acha uwoga wa kijinga.
Hujui sheria......u have the right to remain silent....anything you say will be testified against you.....you have the right to call ur lawyer...... hata haya huyajui?
Na wapigwe tu wakienda na fujo zao huko polisi
Ameitwa mbowe lakini kumbuka mbowe ndiye aliyebeba dhamana ya kutuwakilisha hivyo hamna tatizo na sisi tukienda