Mtoto wa jiji
Member
- Feb 9, 2010
- 15
- 0
Nimesoma kitabu cha Kainerugaba Msemakweli nikagundua kuwa yeye ndo Fisadi wa elimu kwa sababu zifuatazo:
1. Anasema ni mwanasheria wakati hana hata uwezo wa kuandika kiswahili kilichonyooka
2. Anasema ni msomi wakati ameandiska kitabu bila kufuata misingi ya kiuandishi, yaani kufanya utafiti. yeye amepachika kashfa tu kwenye hako kajitabu.
3. Hajatueleza methodology aliotumia
Sawa tuseme hao anaowatuhumu ni mafisadi wa elimu. Je amejishughulisha ku-contact vyuo walivyosoma kuona kama vinatambulika na TCU? etc?
Watanzania tusishabikie uoza, vichaa watakuwa wanaibuka wana-chafua watu. We have to speak out!
Huyu Kainegugaba ni unguided missile au overt Ze Utam,