Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Huyo ni kada wa CCM anayejidai ndiyo INEC. Hiyo siyo tume huru ni tume ya kumweka SAMIA na wahuni wenzake.Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amewataka Watanzania kuitumia siku ya Mei 22, 2025 ambayo ni ya mwisho kujiandikisha katika vituo mbalimbali vya wapiga kura ili waweze kupata haki zao za kupiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Kailima ameyasema hayo wakati alipokuwa anatembelea vituo vya kujiandikisha wapiga kura katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, katika Jimbo la Dodoma Mjini na Mtumba Mkoani Dodoma, leo Mei 21, 2025, akikagua zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili, akiangalia zoezi linavyoendelea kufanyika vituoni pamoja na kujua kama kuna changamoto mbalimbali katika vituo hivyo.
Kailima amechanganyikiwa? Tumeeleza mara kadhaa hapa kwamba hatutashiriki kwenye huo UCHAFUZI wake, No reforms, No election. Tukajiandikishe ILI IWEJE?Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amewataka Watanzania kuitumia siku ya Mei 22, 2025 ambayo ni ya mwisho kujiandikisha katika vituo mbalimbali vya wapiga kura ili waweze kupata haki zao za kupiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Kailima ameyasema hayo wakati alipokuwa anatembelea vituo vya kujiandikisha wapiga kura katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, katika Jimbo la Dodoma Mjini na Mtumba Mkoani Dodoma, leo Mei 21, 2025, akikagua zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili, akiangalia zoezi linavyoendelea kufanyika vituoni pamoja na kujua kama kuna changamoto mbalimbali katika vituo hivyo.
HIYO TUME YA HUYO JAJI PANDIKIZI Mwagigile (Sijui jina lake)na Kailima wote ni mwana CCM.Kailima amechanganyikiwa? Tumeeleza mara kadhaa hapa kwamba hatutashiriki kwenye huo UCHAFUZI wake, No reforms, No election. Tukajiandikishe ILI IWEJE?
View attachment 3341581View attachment 3341581
Kwani watu hawakujiandikisha? Ile kuhakiki ilikuwa KwaJili ya niniMkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amewataka Watanzania kuitumia siku ya Mei 22, 2025 ambayo ni ya mwisho kujiandikisha katika vituo mbalimbali vya wapiga kura ili waweze kupata haki zao za kupiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Kailima ameyasema hayo wakati alipokuwa anatembelea vituo vya kujiandikisha wapiga kura katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, katika Jimbo la Dodoma Mjini na Mtumba Mkoani Dodoma, leo Mei 21, 2025, akikagua zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili, akiangalia zoezi linavyoendelea kufanyika vituoni pamoja na kujua kama kuna changamoto mbalimbali katika vituo hivyo.
🥺🥺🥺Inabidi baada ya hiyo tarehe 22 kupita ufanyike msako wa waliotakiwa kujiandikisha na kukaidi ili wakajiunge na mwenyekiti wa no reforms no elections kwenye kesi ya uhaini
No reforms no elections